Kuna kitu cha kujifunza kwa Zelensky

Kuna kitu cha kujifunza kwa Zelensky

Marekani na washirika wake baada ya KUSHINDWA Vita Ukraine wameogopa fedheha, hivyo ktk BAROZI zake wamefungua kitengo Cha propagandah, Vijana wanakweda kupatiwa Simu janja na Gb za kutosha kupotosha uhalisia wa Vita ya Urusi na NATO.
Kila Mwezi kila kijana anapokea USD 65 na simu ya bure yenye Gb za kutosha.
Hivyo wasiwapotezee muda Kusoma habari za propagandah sababu wao wapo kazini, tena ni Dunia nzima wamefungua Dirisha la propagandah.
kwamba kwenye simu yako ww unaamfuatliaga vita ya Urusi vs NATO ? wewe kichwan ni hamnazo
 
Na vipi kuhusu maiti za wanajeshi wa russia waliouliwa kama kuku pale Kyiv?
ni ukraine alishambulia wkt urusi walienda kyiev kupiga story ( alisikika mvaa kobaz mmoja )
 
kwahiyo hoja sio jeshi la urusi kupigana bali ni majenerali wangap wamekufa kila upande ? ila wavaa kobaz mnajua kukimbia utopolo wenu
wenzio wanauwa na kuangamizwa na unawang"ang"aniza na wachache waliobaki pia wakauawe 😎

kweli huo ndio upwagu na upwaguzi😀
 
Kifupi tuu ni kwamba;Mrusi angetimiza ile ahadi aliyoitoa kwa dunia hapo angeeleweka.
Jambo lolote usipoogopa uwezekano wa kulishinda ni mkubwa hata kama utashinda ukiwa na majeraha.
 
nyie ni buyu kichwan ma bokoharam ndo wanataka muwe matahira kabisa , wkt waarab wenye dini wanaifuata ilimu dunia huko huko kwa makafir
Kama sisi buyu basi wewe papai kabisa yaani
 
muislam ni mwehu sana , kutoka km 11 kuongia kyiev hadi leo wapo mpakan huko ila bado jivaa kobaz linapata nguv za kuongea
Kama ukimuona muislam mwehu basi ujue wewe unamzidi uwehu
 
Kifupi tuu ni kwamba;Mrusi angetimiza ile ahadi aliyoitoa kwa dunia hapo angeeleweka.
Jambo lolote usipoogopa uwezekano wa kulishinda ni mkubwa hata kama utashinda ukiwa na majeraha.
Alitoa ahadi ipi kwa dunia hem tujuze[emoji848]?
 
Unapomkuta baba wa familia anamsifia Zelensky kwamba kaupiga mwingi kwenye vita......
 
Moderator kwanini mnaruhusu watu wanadhalilisha na kukera imani za watu na kuwaacha wanatamba? Mtu anatoa kauli, 'waislam ni wehu', waislam hawana akili, is this acceptable?
 
utakua hufuatilii habari, ule msafara ulirudi urusi baada ya germany, turkey, france, kuweka kufanikisha makubaliano ya kusitisha mapigano......

zele alikubali pia......

siku 3 baadae Boris akaenda kiev kumwambia Zele wao (west/nato) hawatasaini hayo makubaliano, inatakiwa waendelee kupigana.....ndii ukaona vita inaendelea........
HIlo la mazungumzo sidhani
 
Miaka miwili iliyopipa jiji la Kyyiv lilizingirwa na majeshi ya Russia.

Wote tulishuhudia msafara mrefu wa magari ya kijeshi yakiwa ndani ya Ukraine.

Uvamizi ule ulitisha kwa kweli. Mimi binafsi niliona kabisa mwisho wa utawala wa Zelensky.

Wote tuliona majeshi ya Urusi yakiwa kila Kona ya Ukraine.

Cha ajabu, wote tulishuhudia unasiri wa Zelensky Aki mobilise raia wa Ukraine kwamba wasikubali. Wapigane. Kweli kama utani wote tuliona ule msafara ulivyoyayuka kama barafu.

Wiki iliyopita nimemuona waziri mkuu wa UK, Rishi Sunak akilihutubia bunge la Ukraine. Nilishangaa

Kwenye hotuba yake alisema miaka miwiri iliyopita, majeshi ya Urusi yalikuwa kilometer chache toka hapo bungeni.

Ndugu zangu, kweli tusiogope ukubwa wa jambo lolote kwenye maisha. Hata kama tunazingirwa na maadui pande zote, tukiwa na unajasiri, tutashinda tu. Ujasiri ni silaha tosha.
vita inayo Isha nusu saa ni NUCLEAR WAR , huwezi ukawavamia wenyeji kwenye nchi yao wana silaha nzito wana intelligence nzito rahisi rahisi , halafu pia Ukraine umekuwa ikijiandaa na vita ya kurudisha Crimea toka 2014 kwa msaada wa NATO .......
 
mnapenda kutunga story asee , Urusi hajawai rudi nyuma kisa makubaliano maana tukikuhoj kwenye hayo makubaliano kipi alihaidiwa Urusi ili arudi nyuma , hutokuwa na jibu , achen kuwa wanapropagandist wa Urusi bila malipo
sijui wenzetu habari zenu mnapata wapi......
 
Kwahiyo Urusi waliondoka Kiev kisha wakaendelea kupigana kwingineko? Huo si ni uduanzi, unaachaje kuteka mji mkuu ili ukapigane vichochoroni.

Vifaru vya Urusi vilivyokuwa vinaelekea Kiev viliharibiwa na majeshi ya UkraineView attachment 2872415View attachment 2872416
huwa nakuona una akili na mfuatiliaji wa mambo, kumbe nawe ni kundi lile lile la wajinga......

unajifanya mfuatiliaji wa huu mgogoro, na hujui kama turkey alifanikisha preliminary agreement za kusitisha mapigano? kweli uko serious wewe?

na unauliza eti kwanini waliendelea kupigana, umesahau boris alienda kufanya nini kiev?.....

usiwe mjinga, kama una akili jaribu kutafuta habari kabla hujabisha vitu vinavyoandikwa na wenzako!



soma hio link, tafuta na zingine mwenyewe uone kama walipigwa au wali-withdrew
 
Ila lile limsafara la 64 km!,we acha tu.alafa wote ukaliwa kichwa.ila mkubwa aliaibika sana.
 
Back
Top Bottom