comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Mwenyeji wa Rombo tarakea hapa ananiambia wakazi wa Tarake, Rongai na maeneo mengine ya Rombo maji ni ya kuunga unga, wakati huo Kuna Bomba kubwa sana linatoa maji kutoka kwenye chem chem za chin ya mlima kilimanjaro linapeleka maji kenya yani mpaka nairobi kupitia Leitoktok.
Yani wakazi wa upande wa tanzania maji hakuna, wakazi wa rongai na wengne wa mpakani wanaenda kuomba maji kenya ambayo maji hayo ni ya mlima kilimanjaro, hii imakaaje hii kama ni kweli.
Namna gani pale.