je ni kweli?

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli Kitovu cha mtoto mchanga wa kiume kikiangukia kwenye uume wake, mtoto huyo hatoweza kuzaa au kumpa mwanamke mimba?

    Kuna simulizi ambazo zimekuwa zikirithishwa kutoka kizazi hadi kizazi kwenye mitaa yetu. Moja kati ya imani zenye utata mkubwa na zinazotisha wazazi wengi ni hii: "Kitovu cha mtoto mchanga wa kiume kikiangukia kwenye uume wake, mtoto huyo hatoweza kuzaa au kumpa mwanamke mimba". Mara nyingi...
  2. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Kuna kitu cha kushangaza naambiwa hapa, je ni kweli?

    Mwenyeji wa Rombo tarakea hapa ananiambia wakazi wa Tarake, Rongai na maeneo mengine ya Rombo maji ni ya kuunga unga, wakati huo Kuna Bomba kubwa sana linatoa maji kutoka kwenye chem chem za chin ya mlima kilimanjaro linapeleka maji kenya yani mpaka nairobi kupitia Leitoktok. Yani wakazi wa...
  3. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania KWELI Video hii ya bodaboda wanaotoa ushuhuda kuhusu barabara imetengnezwa kwa Akili Unde

  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania KWELI Video hii inayoonesha familia moja ikiwa juu ya mamba imetengenezwa

    Wakuu nimekutana na hii video inayoonesha familia ikiwa juu ya Mamba na vitu vyao kwenye mto, pia inadaiwa ni huko Goma, DRC. JamiiCheck naomba mtusaidie kupata uhalisia wa video hii.
Back
Top Bottom