Kuna kitu cha kushangaza naambiwa hapa, je ni kweli?

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
8,748
Reaction score
18,096
Mwenyeji wa Rombo tarakea hapa ananiambia wakazi wa Tarake, Rongai na maeneo mengine ya Rombo maji ni ya kuunga unga, wakati huo Kuna Bomba kubwa sana linatoa maji kutoka kwenye chem chem za chin ya mlima kilimanjaro linapeleka maji kenya yani mpaka nairobi kupitia Leitoktok.

Yani wakazi wa upande wa tanzania maji hakuna, wakazi wa rongai na wengne wa mpakani wanaenda kuomba maji kenya ambayo maji hayo ni ya mlima kilimanjaro, hii imakaaje hii kama ni kweli.

Namna gani pale.
 
Acha rongo rongo nyingi amani ipo au haipo?
 
Unashangaa hapo wale wa ziwa victoria na Misri je?

Ama hapo Pwani na Ruvu.

Mkuranga/kibiti na rufiji

Songea na ruvuma?
 
kumbe waandamanaji wa KE wanatumia na maji ya kwetu!
 
Samia anawanyoosha machogo mpaka mseme po.
 
Oyaa guyz tulinde amani kwa gharama yoyote

km unataka kuoga nenda baharini au mtoni au ziwani maji yapo telee

Mitano tenaa kwa bi chura anaupiga mwiiingi!
 
Warombo endeleeni kuteseka na shida ya maji huku mbunge wenu akiendelea kuharibu elimu ya nchi hii.
Chagua CCM chagua maendeleo. Haya simmechagua chaguo sahihi? Kaeni kwa kutulia
 
Guys, maji nayo ni kitu cha kupigishana kelele . Guys mvua zinanyesha siku nyingi tu guys, tuvumilie tu guys
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…