Sometimes ni hypes tu na trend.Mara ya kwanza naifahamu hii pombe ilikuwa miaka 9 iliyopita ambapo watu flani maarufu ambao walikuwa influencers wangu walikuwa wanai praise sana hii pombe hasa ile COGNAC.
So far i was dead broke, sikuwa na la zaidi ya kuitazama waki floss nayo kwenye screens ila hivi karibuni nimeanza kuona wabongo wengi ni kama ndio wameisandia kuwa ni pombe ya hadhi flani maybe ina mazuri yake ila ningependa kuyafahamu pia kwa wazoefu.
-Whats special in Hennessy, pricing and alc volume?
So hii kitu haina hangovers40% ABV
Hizi ni zile pombe zilizotengenezwa with the expectation that wanaozinywa wana deals za millions next morning so they need to wake up fresh and sober.
Nothing really special honestly
View attachment 1663463
Weee pombe ukinywea ndani hata haina ladhaSometimes ni hypes tu na trend.
Wabongo wengi ni wafuasi wa trends.
Kwani ni nini kinafanya mtu atoke Tegeta au Bunju huko afunge safari mpaka Liquid bar Kurasini au 40 40 Tabata kunywa pombe wakati Pombe ni zile zile hata ukinywea ndani.
SHETANI TU ANAJIINUA. Pombe haijawahi kuwa na chochote special zaidi ya hadithi za kudanganyanaMara ya kwanza naifahamu hii pombe ilikuwa miaka 9 iliyopita ambapo watu flani maarufu ambao walikuwa influencers wangu walikuwa wanai praise sana hii pombe hasa ile COGNAC.
So far i was dead broke, sikuwa na la zaidi ya kuitazama waki floss nayo kwenye screens ila hivi karibuni nimeanza kuona wabongo wengi ni kama ndio wameisandia kuwa ni pombe ya hadhi flani maybe ina mazuri yake ila ningependa kuyafahamu pia kwa wazoefu.
-Whats special in Hennessy, pricing and alc volume?
Mbona hata Serengeti hazina hangoverSo hii kitu haina hangovers
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora double kick kuliko henessy ya masimango
Hahaaa! UkazimaNnachojua tu Nilikunywa Hennessey nikashushia na ile wine ya kwenye kidumu nikaishia kulala kwenye ngazi..siiijui zaidi
Nikakata Moto,nikiliona dumu La wine au chupa ya Hennessey hamu ya pombe inaisha kabisaHahaaa! Ukazima
Chupa ndogo ni 40 k, haina miujiza yoyote, ni kama tu Pisi kali ageukavyo gogo kitandaniMara ya kwanza naifahamu hii pombe ilikuwa miaka 9 iliyopita ambapo watu flani maarufu ambao walikuwa influencers wangu walikuwa wanai praise sana hii pombe hasa ile COGNAC.
So far i was dead broke, sikuwa na la zaidi ya kuitazama waki floss nayo kwenye screens ila hivi karibuni nimeanza kuona wabongo wengi ni kama ndio wameisandia kuwa ni pombe ya hadhi flani maybe ina mazuri yake ila ningependa kuyafahamu pia kwa wazoefu.
-Whats special in Hennessy, pricing and alc volume?
Mara ya kwanza naifahamu hii pombe ilikuwa miaka 9 iliyopita ambapo watu flani maarufu ambao walikuwa influencers wangu walikuwa wanai praise sana hii pombe hasa ile COGNAC.