Kuna kitu gani special katika hii pombe ya Hennessy?

Kuna kitu gani special katika hii pombe ya Hennessy?

40% ABV

Hizi ni zile pombe zilizotengenezwa with the expectation that wanaozinywa wana deals za millions next morning so they need to wake up fresh and sober.

Nothing really special honestly

View attachment 1663463
Kuna boss flani wa police mwaka 2014 tulimualika sehemu(tulikua watatu) pale Arusha ilikua, akaagiza hio kitu akainywa kiasi then akachukua na take away akisema ni ya mke wake.

Laki 5 ikawa imetutoka hio(250,000×2) watu wakabaki wanatoa macho tu,wkt sisi wenyeji wake tulikua tunakunywa castle lager tu.,hahah.
 
Hapana, msingi ni mtu kupata mix of taste kati ya K vant na any other taste.

Lakini sishauri unywaji K vant mixed na energy drink, insteady mnywaji atumie kinywaji kama Tonic water au soda water.

Over
Asante mtaalam. Kwa nini ushauri hivyo?
 
Nothing special with Hennessy ni trending tu kwa wabongo
Kama unavyoona trending kwenye gari aina ya Rumion kwa wabongo
Aaw kumbe, basi hamna noma maana ninaona kila mtu anafloss na Henny
 
Mara ya kwanza naifahamu hii pombe ilikuwa miaka 9 iliyopita ambapo watu flani maarufu ambao walikuwa influencers wangu walikuwa wanai praise sana hii pombe hasa ile COGNAC.

So far i was dead broke, sikuwa na la zaidi ya kuitazama waki floss nayo kwenye screens ila hivi karibuni nimeanza kuona wabongo wengi ni kama ndio wameisandia kuwa ni pombe ya hadhi flani maybe ina mazuri yake ila ningependa kuyafahamu pia kwa wazoefu.

-Whats special in Hennessy, pricing and alc volume?
Ni pombe ya bei rahisi hasa kwa watu weusi wa marekani, ila wabongo wanaona kama fashen
 
Back
Top Bottom