Kuna kitu gani special katika hii pombe ya Hennessy?

Kuna kitu gani special katika hii pombe ya Hennessy?

Kibongo kwenye 150k ambayo ni kama $60+ hv kwa marekani ambayo ni hela ndogo sana tofauti na Ace of spade zinauzwa $900 na kuendelea
Rémy Martin XO niliikuta sehemu hapo dar inaenda kwa $190 imetulia sana aisee ile Remmy Martin Vsop yenyewe sikuipenda sana.
 
Anafeli, bila serengeti baridi ungekuta sina kitambi ila ndio hivyo tena mambo ya 1 pack
Hahah tupate tangazo kutoka kwa wadhamini wetu kutoka hapo studio.
Screenshot_2020-12-31-09-20-53-1.jpg
 
Hapana, msingi ni mtu kupata mix of taste kati ya K vant na any other taste.

Lakini sishauri unywaji K vant mixed na energy drink, insteady mnywaji atumie kinywaji kama Tonic water au soda water.

Over
Kama una mix energy na k vant siku za dudu kusimama zina hesabika
 
Kuna boss flani wa police mwaka 2014 tulimualika sehemu(tulikua watatu) pale Arusha ilikua, akaagiza hio kitu akainywa kiasi then akachukua na take away akisema ni ya mke wake.

Laki 5 ikawa imetutoka hio(250,000×2) watu wakabaki wanatoa macho tu,wkt sisi wenyeji wake tulikua tunakunywa castle lager tu.,hahah.
Namkumbuka huyo boss infact na Mimi ndie aliyeni influence kuipenda hii pombe. First time kwenye ile baa yao pale karibu na NBC Kisha sebule tukaihamishia AICC club kaloleni.
 
Back
Top Bottom