Kuna kitu gani special katika hii pombe ya Hennessy?

Kuna kitu gani special katika hii pombe ya Hennessy?

Chupa ndogo ni 40 k, haina miujiza yoyote, ni kama tu Pisi kali ageukavyo gogo kitandpisi kali miyeyesho sana bora pisi mbovu kukunja mguu tu ugovi!
Bora pisi mbovu inajuwa kukunja mguu pisi kali miguu haikunjiki
Bora mtu upige seregeti tu kusoma kuelewa kukesha bwe mbwe tu! Achana na hayo Mavitu tunapigwa pesa bure tu
 
Bapa ina ladha ya pekee mpaka leo wazungu wanajiuliza ni formula gani ilitumika kuipata konyagi hawaelewi 😁😁😁!

Haifanani na spirit nyengine yeyote hapa ulimwenguni.
Wakemia nawaonaa
 
Mm mpenzi wa Hennessey toka kitambo ila now imekuwa overrated na slay queens na mabishoo, haina hang over
Now nimeamia kwenye ballatine
 
Kuna boss flani wa police mwaka 2014 tulimualika sehemu(tulikua watatu) pale Arusha ilikua, akaagiza hio kitu akainywa kiasi then akachukua na take away akisema ni ya mke wake.

Laki 5 ikawa imetutoka hio(250,000×2) watu wakabaki wanatoa macho tu,wkt sisi wenyeji wake tulikua tunakunywa castle lager tu.,hahah.
Yesu wangu!

Mlikuwa na deal gani mpasuke kiasi hiko kujenga rapport?
 
Na hii je, vitz mbili unapata
20201124_001738.jpg
 
Labda bei
Kuna sehemu nilienda inauzwa karibu 150K..
Ndo wadada wakinunua wanarusha video hadi Instagram wameikumbatia...

Naona ni namna ya kujiona expensive Kwa ma slay Queen..
ah ah dah this end my year.,...eti wanaikumbatia
 
Bapa ina ladha ya pekee mpaka leo wazungu wanajiuliza ni formula gani ilitumika kuipata konyagi hawaelewi 😁😁😁!

Haifanani na spirit nyengine yeyote hapa ulimwenguni.
walijipanga sana, ila formula wasipiwe kabisa hao wazungu hahahaha
 
Pombe ni sawa na simu unanunua ambayo una uwezo nayo tu ila lengo ni kulewa tu mengine faida ya ziada sijui hazina hangover, n.k

Hizi zimetengenezwa kwa watu special wasio na mawazo na pesa, ila hata wenye mawazo na pesa unaweza fata mkumbo ukanunua kuliko kunywa KITOKO, SHINGWA maana navyoni pombe pia
 
Kuna sehemu sijui ni Samaki ama Hyatt inauzwa laki 8..sina kumbukumbu ya sehemu mana ilikua story ya mtu
Na wakileta ni wanaleta wanaiimbia kabisa
Ss sijui ni kweli ama vp

wizi mtupu

Itakuwa Hyatt's
 
Kuna boss flani wa police mwaka 2014 tulimualika sehemu(tulikua watatu) pale Arusha ilikua, akaagiza hio kitu akainywa kiasi then akachukua na take away akisema ni ya mke wake.

Laki 5 ikawa imetutoka hio(250,000×2) watu wakabaki wanatoa macho tu,wkt sisi wenyeji wake tulikua tunakunywa castle lager tu.,hahah.
Daah mi ningemwambia tu tuna bajeti ya 40 labda kwajili yake kwa chakula na kinywaji itakayozidi apambane . Siwez its mtu maali anisababishie hasara . Labda kama uyo mtu anakuja kunipa deal la pesa ndefu ntavumikia maana mi win win situation
 
Back
Top Bottom