Kuna kitu gani special katika hii pombe ya Hennessy?

Daah mi ningemwambia tu tuna bajeti ya 40 labda kwajili yake kwa chakula na kinywaji itakayozidi apambane . Siwez its mtu maali anisababishie hasara . Labda kama uyo mtu anakuja kunipa deal la pesa ndefu ntavumikia maana mi win win situation
Hahah tulikua tunaongea inshu ya mpunga wa kueleweka tu lkn hatukua tumejiandaa kwa yeye kunywa hio kitu na kuchukua take away yaani tulijua atagonga Heineken,ila alivyobadili gia angani tukawa wapole huku tukijichekesha chekesha kama sio big deal vile.

Mimi niliona kama vile anatupima kwa mpunga tuliokua tunaongelea tungeshindwa ku-afford hio kitu aliyoagiza angetuona kama wazushi flani hivi.

Ila mwishowe alitufanikishia inshu yetu na akawa mshkaji kwa sana tu.
 
Basi mwamba alikua sahihi. Unasema hamkua hamjajipanga ? Kama pesa ipo unajipanga kwa lipi tena mkuu? Umeshasema mlikua ba deal la mpunga mrefu sana so kutumia laki 5 kwa mfano kwa issue inayokuletea milioni 5 iyo ni 10% sio mbaya kabisa. Win win situation
 
Sasa mnampa jamaa deal ya 10M halafu mshindwe ku clear bill ya laki 5 kweli?
 
Hahah tulikua tunaongea inshu ya mpunga wa kueleweka tu lkn hatukua tumejiandaa kwa yeye kunywa hio kitu na kuchukua take away yaani tulijua atagonga Heineken,ila alivyobadili gia angani tukawa wapole huku tukijichekesha chekesha kama sio big deal vile.

Mimi niliona kama vile anatupima kwa mpunga tuliokua tunaongelea tungeshindwa ku-afford hio kitu aliyoagiza angetuona kama wazushi flani hivi.

Ila mwishowe alitufanikishia inshu yetu na akawa mshkaji kwa sana tu.
Mlimpa advance indirect [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Basi mwamba alikua sahihi. Unasema hamkua hamjajipanga ? Kama pesa ipo unajipanga kwa lipi tena mkuu? Umeshasema mlikua ba deal la mpunga mrefu sana so kutumia laki 5 kwa mfano kwa issue inayokuletea milioni 5 iyo ni 10% sio mbaya kabisa. Win win situation
Usemacho ni kweli,lkn aliyetu connect nae alituambia jamaa hua anagonga heineken na pia kilikua ndio kikao chetu cha kwanza tulikua bado tunatakiwa tukutane kama kama mara 5 for consultation tena ndipo tu-finalize jambo letu.

Sasa kama mwendo ungekua huo huo hapo si mtamaliza mpunga kwny jambo 1 tu la kinywaji?Ila jamaa alitufanikishia jambo tena mpunga tulipata mara 2.5 ya expectation yetu na tulimshukuru 'handsomely' na alibaki kua mdau muhimu kwny mambo mengine ya kimaisha mkuu.
 
Afande atabaki kuwa juu kileleni[emoji23] kajibebea zake V.S.O.P mbili chap kwa ukali
Hahah na kweli ilikua ni kwa ukali maana tuliona tu take away imeagizwa chap huku anajiandaa kusimama tayari kwa kuondoka [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Kawaumiza kisaikolojia, kuna kile kihali flani cha kushusha pumzi na kijasho cha pua kuchomoza ghafla huku mwili ukisisimka kabla ya kuona bill yenu itakujaje😂
 
😃😃😃😃 nadhani hapo ndipo nilikuja kuelewa huko kwny kozi zao hua wanafundishwa mambo za kutusoma saikolojia chalii angu.
 
Back
Top Bottom