Kuna kitu gani special katika hii pombe ya Hennessy?

Kuna kitu gani special katika hii pombe ya Hennessy?

Kwenu walevi wenzangu.
1. Kwani Lengo la kunywa pombe Ni Nini? Kama Ni kulewa tu nakushauri unywe konyagi kwani kwa sh 20000 tu utakua hoi.
2. Kama Lengo Ni kwenda bar ku admire ma barmaid konyagi itakufaa zaidi hata kudumisha ndoa konyagi is recommended. Sioni sababu mtu anajisifia eti kanywa Serengeti lite kreti halafu zote amezikojoa huko huko bar anarudi nyumbani hajalewa na jogoo kachoka mbaya. Wastage of time, money as well as your power.
 
Hapa ndio nakumbuka wimbo wa prof jay

Kuna watu wana magari mpaka ya milion 200 wabongo wa kawaida baiskeli kitendawili....
Screenshot_20201229-172535~2.jpg
 
Sometimes ni hypes tu na trend.

Wabongo wengi ni wafuasi wa trends.

Kwani ni nini kinafanya mtu atoke Tegeta au Bunju huko afunge safari mpaka Liquid bar Kurasini au 40 40 Tabata kunywa pombe wakati Pombe ni zile zile hata ukinywea ndani.
Wakati mwingine uwa unafikiria mkuu, watu hufuata company na mademu wazuri. Mademu moto wako hizo sehemu ulizotaja, Tegeta, Kurasini, Mwananyamala, Kinondoni, Magomeni, Mbagala, Mtoni na Uswahilini kote. Ukitaka kucheka na kuchukia mademu fika sehemu za washua kama Oysterbay, Masaki, Mbezi Beach, na nyinginezo uone jinsi watoto wa kishua walivyo na sura za Kitarime au Unyakyusani....utalia. Hii ndiyo sababu ya wazee wa kishua na wenye nazo kukimbilia uswazi kwenye raha za uhakika.
 
Mara ya kwanza naifahamu hii pombe ilikuwa miaka 9 iliyopita ambapo watu fulani maarufu waliokuwa influencers wangu walikuwa wanai praise sana hii pombe hasa ile COGNAC.

So far i was dead broke, sikuwa na la zaidi ya kuitazama waki floss nayo kwenye screens ila hivi karibuni nimeanza kuona wabongo wengi ni kama ndio wameisadia kuwa ni pombe ya hadhi fulani maybe ina mazuri yake ila ningependa kuyafahamu pia kwa wazoefu.

-Whats special in Hennessy, pricing and alc volume?
Scotch over here.

Henessy huwa nanunulia watu tu, mimi sinywi.
 
Back
Top Bottom