Kuna kitu gani special katika hii pombe ya Hennessy?

Haina maajabu yoyote hata huko mbele Ina hype hivi hivi & quite overpriced wakati kuna cognac bora zaidi kwa bei nafuu kuliko hiyo.

Watu weusi ndo walengwa hasa wa hiki kinywaji na watengenezaji wanaiuza bei ya juu ili hao mazuzu wajione na wao wanaoishi!
 
Kuna boss flani wa police mwaka 2014 tulimualika sehemu(tulikua watatu) pale Arusha ilikua, akaagiza hio kitu akainywa kiasi then akachukua na take away akisema ni ya mke wake.

Laki 5 ikawa imetutoka hio(250,000×2) watu wakabaki wanatoa macho tu,wkt sisi wenyeji wake tulikua tunakunywa castle lager tu.,hahah.
Huu ufalaz hata mi ulishawai kunitokea nilikuaga meneja kitengo flani sasa nikawa nimemuona mteja wetu mmoja mkubwa ambae nilikuaga naendelea kumzoza anipe more business ili nilambe bonus, nikamuagiza mhudumu akampige double ya anachokunywa mi akilini nikijua ni vibia tu...e bwana imekuja bili nilitaka kudondoka nikamuuliza mhudumu mara mbilimbili huku jasho likinitoka. Sikua na hiyo hela pale bahati nzuri meneja wa ile hotel tunafahamiana nikailipa kesho yake ila nikaingiza kwenye bili ya ofisi kwamba nilikua dinner na mteja. Tokea hapo yule mteja nikamchukia wakati mi ndo nilijichanganya.
 
Kabla ya kuagiza, jua bei.

Umenikumbusha kuna siku niliingia duka moja la saa mall ya World Trade Center.

Nimeangalia saa, nikaiona saa moja nzuri.

Haina jina ninalolifahamu, haina bling bling sana, ila nikawa nimeipenda ilivyokaa.

Nikamuomba muhudumu anitolee niiangalie.

Akanitolea akanipa niitazame vizuri kwa karibu.

Nikaiangalia nikaipenda.

Kuigeuza niangalie bei basi.

$22,500. US dollars.

Halafu si Rolex wala jina kubwa linalojulikana sana.

Sasa hapo ningeagiza kuichukua bila kusoma bei, ningeumbuka.
 
Sh
Shida ya Nyagi ni uchungu tu. Inazingua hapo tu halafu unaamka mwili umechoka kama umetoka kupigana 😂😂😂!

Pombe ni starehe ila isikutese bana, sasa unaamka kichwa na mwili unauma starehe yake iko wapi?

Uzuri wa lite hulewi ila unakuwa high tu..Kisha ukiamka uko sawa kama ulikuwa unakunywa maji tu.
Mheshimiwa. Dawa ya nyagi Ni maji glass mbili kabla ya kulala na glass mbili saa kumi na moja alfajiri.
Try it and thank me later
 
Sometimes ni hypes tu na trend.

Wabongo wengi ni wafuasi wa trends.

Kwani ni nini kinafanya mtu atoke Tegeta au Bunju huko afunge safari mpaka Liquid bar Kurasini au 40 40 Tabata kunywa pombe wakati Pombe ni zile zile hata ukinywea ndani.
Henessy kwa wabongo alianza kuzipandisha chati sana 2Pac na ma rappers wenzake.

2Pac alikuwa anapenda sana kunywa Henessy na Alize. Halafu katika muziki wake anazitaja sana. Zikawa na ile "cool factor".

Sasa kama unavyosema, kitu kikipata matangazo kama hivyo watu wanakidaka, na mara nyingine ndiyo inakuwa habari ya "stick to what you know".

Mtu anaagiza Henessy kwa sababu ndiyo anayoijua.

Kama mimi nilishazoea Scotch whisky hizo Henessy nyingine naona kama dawa ya mafua vile.

Kuna watu walikuja kwenye party kwangu nikawanunulia Henessy kubwa lile wanywe, baada ya party kumalizika, walikuwa hata hawajaligusa walikuwa wanakunywa vinywaji vingine.

Nikawaambie lichukueni mkanywe kwenu, mimi huwa sinywi Henessy.

Wakalichukua chupa wakaenda kufurahi kwao.

Mimi nikaendelea kugonga muziki wa double double fine single malt Scotch whisky kama Benjamin William Mkapa vile!
 
Nakunywa Scotch whisky, nikibadili gin and tonic.

Henessy ni pombe ninazowanunulia watu tu mimi si mnywaji.

Ila kuna miaka napumzika mwaka mzima bila kugusa, 2021 napumzika.
Dah ungepumzika mwaka huu wa majanga mkuu, mwakani gonga Dom Perignon tu 😂
 
Henessy kwa wabongo alianza kuzipandisha chati sana 2Pac na ma rappers wenzake.

2Pac alikuwa anapenda sana kunywa Henessy na Alize. Halafu katika muziki wake anazitaja sana. Zikawa na ile "cool factor".

Sasa kama unavyosema, kitu kikipata matangazo kama hivyo watu wanakidaka, na mara nyingine ndiyo inakuwa habari ya "stick to what you know".

Mtu anaagiza Henessy kwa sababu ndiyo anayoijua.

Kama mimi nilishazoea Scotch whisky hizo Henessy nyingine naona kama dawa ya mafua vile.

Kuna watu walikuja kwenye party kwangu nikawanunulia Henessy kubwa lile wanywe, baada ya party kumalizika, walikuwa hata hawajaligusa walikuwa wanakunywa vinywaji vingine.

Nikawaambie lichukueni mkanywe kwenu, mimi huwa sinywi Henessy.

Wakalichukua chupa wakaenda kufurahi kwao.

Mimi nikaendelea kugonga muziki wa double double fine single malt Scotch whisky kama Benjamin William Mkapa vile!
Yah, Pac alikuwa fan wa Hennesy, Rolex! BiG fan wa Versace. Hawa ndio influencers wakubwa ila sio mbaya hii kitu for black excellence.

Imekuwa maarufu sana bongo now...I wanna give it a shot!
 
Mheshimiwa. Dawa ya nyagi Ni maji glass mbili kabla ya kulala na glass mbili saa kumi na moja alfajiri.
Try it and thank me later
Dah maji nikinywa baada ya kujishindilia nyagi huwa natapika instantly!

Mwisho niliona tu nyagi is not my thing!
 
unaweza kuwa mvinyo wa bei ghali sana hapa mjini lakini ninywe kitoko unywe henesi zote ni ulevi jamani😃😃
 
Kabla ya kuagiza, jua bei.

Umenikumbusha kuna siku niliingia duka moja la saa mall ya World Trade Center.

Nimeangalia saa, nikaiona saa moja nzuri.

Haina jina ninalolifahamu, haina bling bling sana, ila nikawa nimeipenda ilivyokaa.

Nikamuomba muhudumu anitolee niiangalie.

Akanitilea akanioa niitazame vizuri kwa karibu.

Nikaiangalia nikaipenda.

Kuigeuza niangalie bei basi.

$22,500. US dollars.

Halafu si Rolex wala jina kubwa linalojulikana sana.

Sasa hapo ningeagiza kuichukua bila kusoma bei, ningeumbuka.
Hata sikuwaza kwamba anapiga pombe ya bei mbaya so wazo la bei halikuwepo kabisa. Ila alinifundisha sana kitu siku ile yule mkuda.
 
Back
Top Bottom