Kuna kitu gani special katika hii pombe ya Hennessy?

Kuna kitu gani special katika hii pombe ya Hennessy?

Henessy mbona ni takataka tu
Ni jamii moja na Courvoisier Cognac VC

bora hata hii HAIG CLUB single grain scotch whisky
1609454267655.png

Lakini waambie washkaji wale mtaji na hii hapa chini

1609454213548.png
 
sijawahi kukatia moto nje ya get I, hata nilewe vipi nafika nyumbani ndo nazima

Ila nimeacha kuchanganya pombe kabisa
Unabeba pombe kutoka mbali ukifika ndani ya geti ndo unaanza kuigida na kuzima ukiwa ndani ya geti? Au nasema uongo ndugu zangu.
 
Pombe wanazosifia wanamuziki wa marekani ndio wabongo nao wanashoboka.

-Cris ,belaree,ciroc,barcadi na henesi.

=====
After the show it's the after party then
After the party it's the hotel lobby and
After the Belve' then it's probably Cris'.

You see V-I-P; me, Kelly, Gotti, and Hov'
Drinkin Cris' like its H-2-O
======

Fresh Prince of Bel-Aire, all they do is stare.
 
Wanadai haileweshi
Kuna jamaa, Afisa flani wa Serikali hawa wapenda bure na sifa, akataka hiyo Hennessy, tukamnunulia, akaifakamia kama nusu chupa. Kilichofuata akaiba funguo wa mshkaji mezani akawasha gari akasepa (japo naye alikuja na gari lake). Tulimtafuta sana, baada ya masaa 3 tukamkuta mtaroni, kms kama 60 kutoka tulipokuwa, anaelekea wilaya ambayo haimuhusu kabisa. Tukampeleka hospitali, bahati nzuri hakufa. Tangu siku ile hataki kuisikia hiyo pombe. Ishu ni kwamba hamna pombe isiyolewesha, kinacholewesha siyo jina la pombe bali ni ile alcohol iliyopo ndani yake. Pombe yeyote (hata S.lite) unaweza kulewa. Inategemea tu umekunywa kiasi gani? Umekula? Kiwango cha maji mwilini? Mazingira? (Eg. Ni rahisi kulewa kama unacheza mziki huku unakunywa)
 
Wengn Hizo tunazisom kwenye Display ya bar
Zet k-vant na double Punch
 
Personal taste and preference aside, Windhoek Draught is milliliter for milliliter the best beer in town
 
Mara ya kwanza naifahamu hii pombe ilikuwa miaka 9 iliyopita ambapo watu fulani maarufu waliokuwa influencers wangu walikuwa wanai praise sana hii pombe hasa ile COGNAC.

So far i was dead broke, sikuwa na la zaidi ya kuitazama waki floss nayo kwenye screens ila hivi karibuni nimeanza kuona wabongo wengi ni kama ndio wameisadia kuwa ni pombe ya hadhi fulani maybe ina mazuri yake ila ningependa kuyafahamu pia kwa wazoefu.

-Whats special in Hennessy, pricing and alc volume?
Tueleze kwanini umekuwa na shauku nayo: ni Kanumba⁉️ au Marley⁉️
 
Nnachojua tu Nilikunywa Hennessey nikashushia na ile wine ya kwenye kidumu nikaishia kulala kwenye ngazi..siiijui zaidi
Mkuu unaishi kwenye nyumba ya ghorofa? Manake sidhani kama ngazi unazozizungumzia ni za nje.
 
Kuna jamaa, Afisa flani wa Serikali hawa wapenda bure na sifa, akataka hiyo Hennessy, tukamnunulia, akaifakamia kama nusu chupa. Kilichofuata akaiba funguo wa mshkaji mezani akawasha gari akasepa (japo naye alikuja na gari lake). Tulimtafuta sana, baada ya masaa 3 tukamkuta mtaroni, kms kama 60 kutoka tulipokuwa, anaelekea wilaya ambayo haimuhusu kabisa. Tukampeleka hospitali, bahati nzuri hakufa. Tangu siku ile hataki kuisikia hiyo pombe. Ishu ni kwamba hamna pombe isiyolewesha, kinacholewesha siyo jina la pombe bali ni ile alcohol iliyopo ndani yake. Pombe yeyote (hata S.lite) unaweza kulewa. Inategemea tu umekunywa kiasi gani? Umekula? Kiwango cha maji mwilini? Mazingira? (Eg. Ni rahisi kulewa kama unacheza mziki huku unakunywa)
Jamaa alitisha mno, yani kaiba funguo mbele ya macho yenu?
 
Back
Top Bottom