Kuna kitu gani special katika hii pombe ya Hennessy?

Kuna kitu gani special katika hii pombe ya Hennessy?

Mimi niliweka principle tu si kwamba yamenikuta wala nini.

Kuna watu wengine wakishasikia kuna offer iko open ended wanataka kukomoa hapo hapo.
pombe za ofa hazinaga mwisho mzuri
 
Haj
Kabisa... Mchawi ni msosi wakutosha na maji mengi tatizo wengi wanavikimbilia bila kuvielewa.... Huwezi kula boflo na soda alafu uache kuiona Vladmir kama ni pombe ngumu
Hahahah pombe inakausha maji mwilini vibaya mno.
 
Henny inakubalika karibu sehem nyingi ulimwenguni. Kwa hapa bongo sasa hivi ndio kipindi chake. Kipindi cha nyuma kulikua na Jack Daniels na John walker
Ni sh ngap hiyo Hennessy Boss ? Nikivunja kikoba nikanunue,ili niachane na double kick
 
Tangu nimeiona ile Clip ya yule ni Mpakistan kama sikosei, jamaa alikuwa anazijaza kwenye chupa halafu anapack! Ana madumu na madumu ya mzigo, ana chupa za kutosha tu za Johny Mtembezi, Mwalimu nk. Nikakoma kunywa Whisky na Brandy
 
Back
Top Bottom