Kuna kitu gani special katika hii pombe ya Hennessy?

Kuna kitu gani special katika hii pombe ya Hennessy?

Serengeti Ni uzazi wa mpango kwa wanaume. Ikikuzoea huku chini itakua mtambo wa kutolea mkojo tuu.
Especially kale ka rangi ya chama
Dah kumbe ndio maana pafomansi imeanguka kama uchumi wa Mugabe
 
Naona kama ni wewe ndo upo hivyo thats why limekuwa wazo lako la kwanza ukahimishia kwangu,

Unawezaje kusemea taste anayofeel mtu mwingine?
Yaani how?

Mie pombe ya kunywea ndani haina ladha hata robo.

Uko sahihi mkuu, hata hivyo mi nakunywa maji tu ambayo definitely hayana ladha.
 
Hahahah kwahio 40K is worth the drunkardness! [emoji43]
Jamani, hizi bei nahisi zinategemea na sehemu. Mimi nilinunua duka la jumla elf 22. Nikasema nikaangalie price pale game nilikua elf 23 kile kichupa kidogo. Na vilikua aina 3. Me si mlevi kwahiyo sikuwahi kubother kuangalia majina yake kiutofauti. It was last year around August. Kuna siku nikaangalia ile chupa kubwa mliman hapo2 ilikua laki 5. Nadhan price hutofautiana sehem na sehem. Na pua huo ujazo. Ama kuna fake?

Zaidi ni maslay queen na vijana wa subaru ndo wanaipaisha tu
 
Jamani, hizi bei nahisi zinategemea na sehemu. Mimi nilinunua duka la jumla elf 22. Nikasema nikaangalie price pale game nilikua elf 23 kile kichupa kidogo. Na vilikua aina 3. Me si mlevi kwahiyo sikuwahi kubother kuangalia majina yake kiutofauti. It was last year around August. Kuna siku nikaangalia ile chupa kubwa mliman hapo2 ilikua laki 5. Nadhan price hutofautiana sehem na sehem. Na pua huo ujazo. Ama kuna fake?

Zaidi ni maslay queen na vijana wa subaru ndo wanaipaisha tu
Duka la jumla liko wapi hilo namie nikajipatie nakala yangu
 
k vant ni binti tu kwa vodka vladmir aka Babu mandevu.
Chief hii pombe sio kabisa, na kwa kweli vodka huku tropical countries haitufai kabisa sbb ya joto.

Nilishaenda kwenye mishe wilaya moja nje kabisa ya mji, sasa mida ya saa 2 tukaenda tafuta pombe. Kwenye kigrocery kile tukakuta beer sizielewi, naona senator, eagle. Kuulizia kipenzi changu konyagi hamna. Ndio nikaambiwa kuna Vladmir vodka. In mind nikakumbuka kuna viroba vya vladmir nilikuwa navielewa sana enzi za chuo miaka ya 2007. Nikasema nipe.

Niligonga vichupa vitatu. Aise asubuhi nastuka kumbe night nimerudisha chenji. Kunyanyuka kitandani mwili hauwezi kama umefungwa kamba, nguvu hamna mapigo ya moyo yako hovyo. Ili Kupata ahueni ilibidi nipate fanta orange.

Mchana kufika hali mbaya kinoma. Nikaenda town kupima naambiwa nina malaria, minyoo na nina kiwango kikubwa cha acid. Siku 3 niko hoi hata kazi kufanya ni tabu.

Hii sio pombe ni silent killer.
 
Asante mtaalam. Kwa nini ushauri hivyo?
Enegy drink zina caffen, na yalishatokea malalamiko kwamba baadhi ya watengenezaji wa ndani wa bidhaa hizo wanaongeza zaidi caffen na hivyo kueza kusababisha magonjwa kama pressure/ kidney kwa watumiaji.

Kumbuka hata redbull ambayo ni trusted energy drink haishauri kuwa zaidi ya moja.

Best and suggested to take with ni maji (clean, purified water) mixed with sliced lemon+ ice block, ikae kwenye glass fupi nzuri yenye mvuto.

........Nimesikia kiu ghafla plz....natoka kidogo kwenda kushtua hii kitu.....
 
Mimi ni mnywaji WA almost daily.
Jambo nililojifunza ukinywa pombe ya ghali kidogo au ambayo sio familiar kwa watu wengi sana na hata kama unakutana na strangers mnapanga deal anakuweka kwenye upper class. Pamoja na kazi nyingine mm ni dalali, unywaji wa pombe za ghali kidogo kama izo Hennessy, Grants, Balantaire, Camino Tekila unakupa heshima Fulani badala ya hizi pombe za mafungu kama Serengeti lite and at all.

Ila in side ya PISI KALI you will get the best and very easily.
 
Mtu unakamua alcohol 40%, hayo maini na figo vitasalimika kweli? ushamba nao ni mzigo..
 
Mimi binafsi nikinywa ninakuwa dereva mzuri Kitandani na sichoki.
Mara nyingi napenda kunywa nikijua ninaenda kukutana na mwanamke mwenye juhudi ya kuendesha usiku bila kulalama kuchoka.
 
Back
Top Bottom