Watengenezaji wamei brand
Wabongo wameingia mkenge nadhani jina lake limekaa ki slay queen na bei kubwa basi anayekunywa ana feel proud mpaka anaji selfisha anatuma mtandaoni.
Nilionja siku moja ila haina jipya jina kubwa bila cha maana kama demu pisi kali kwa bed unaziba pua[emoji125][emoji125]