Msweet
JF-Expert Member
- Mar 26, 2014
- 3,135
- 4,306
Niwe Mkweli, sijawahi kui-test.... Kumbe Ni Tamu eeeeeeKuna boss flani wa police mwaka 2014 tulimualika sehemu(tulikua watatu) pale Arusha ilikua, akaagiza hio kitu akainywa kiasi then akachukua na take away akisema ni ya mke wake.
Laki 5 ikawa imetutoka hio(250,000×2) watu wakabaki wanatoa macho tu,wkt sisi wenyeji wake tulikua tunakunywa castle lager tu.,hahah.