Kuna kitu gani special katika hii pombe ya Hennessy?

Kuna kitu gani special katika hii pombe ya Hennessy?

Kuna boss flani wa police mwaka 2014 tulimualika sehemu(tulikua watatu) pale Arusha ilikua, akaagiza hio kitu akainywa kiasi then akachukua na take away akisema ni ya mke wake.

Laki 5 ikawa imetutoka hio(250,000×2) watu wakabaki wanatoa macho tu,wkt sisi wenyeji wake tulikua tunakunywa castle lager tu.,hahah.
Niwe Mkweli, sijawahi kui-test.... Kumbe Ni Tamu eeeeee
 
Hii kitu imetajwa sana na wasanii wa kimarekani kwenye nyimbo zao ilikua ni pombe pendwa ya ya mwanamuziki 2 pack shakur
 
Back
Top Bottom