Kuna kitu gani special katika hii pombe ya Hennessy?

Kuna kitu gani special katika hii pombe ya Hennessy?

Mm naweza kukulewesha kama unabisha tukutane siku moja 🙈

Kibosho1 unajua jina la hii kitu inayobebea kinywaji?
images (6).jpeg
 
Siwezi sahau nilikunywa heinessy nime mix na barafu tu,nilipofika ndan nililala kama nilvyo,hapana sirudii
Hennessy ina namna ya pekee ya kuwatuliza wenge wafakamiaji pombe 😂 kuna mwenzenu alijikojolea juzi kati
 
Hii pombe ilinifanya nililetewa bill ya ajabu
Lounge moja maarufu hpo atwn...nliyokuwa nao walitaka kunikomoa niliwachia bill nikizuga naenda chooni kmbe ndiyo kimoja[emoji23][emoji23][emoji23]
Huko nyuma watu walibanwa wengine wakaacha sim zao mwingine gari alinyanganywa funguo
Warete hela mpaka leo madem hao hawana hamu na mimi[emoji23][emoji23][emoji23]
Hennesy hiyooooo

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Mkuu uliamua uchomoke kama Ninja.
 
Mzee baba vipi ukipiga Hennessy nasikia unaflow English ile ya Kwa Malkia.

Mwamba aliyejikojolea alijua pombe kama juisi ya ukwaju.
Hahahah mwamba alifakamia mchupa wa robo tatu ule yani 750mls akitegemea atamudu mziki huku akipoozea ukali na heineken baridi😂
 
Back
Top Bottom