Kuna kitu gani special katika hii pombe ya Hennessy?

Kuna kitu gani special katika hii pombe ya Hennessy?

Mimi natumia chochote kisichoniumiza au kumuumiza binadamu mwingine πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kumbe eeh😝 basi usijali kuhusu hilo, nilihofia labda utazidiwa maana ni kakali ila tutayajenga tu wala hautaumia!
 
Nimenunua Hennessy mtoto ili kutest mitambo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ntakupa ukajaze Valuer maana zinaendana kwa ladha tu! Sijaona tofauti!
Sichagui lakini Valeur haijawai kunisumbua.
 

Attachments

  • IMG_20201028_204402.jpg
    IMG_20201028_204402.jpg
    267.7 KB · Views: 5
Ukiniita ujue tuu silewagi, na sishibagi πŸ₯‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hahahah we ntakupa haka ka Hennessy na mkuu wa meza.

Ukitoboa hapo nakupa kubwa ile...
 
Sasa nikivunja kikoba changu nikanunue ipi kati ya hizo Boss ?
Wanadai hio ya 150K V.S.O.P ndio nzuri zaidi ila mi nimeanza na kale katoto kabisa ili nipate feeling yake. Ipo vizuri
 
😒 kakikoba kangu jamani nakaonea huruma, sasa chote si ndo kinaenda kuishia hapo? πŸ€”
Wanadai hio ya 150K V.S.O.P ndio nzuri zaidi ila mi nimeanza na kale katoto kabisa ili nipate feeling yake. Ipo vizuri
 
Back
Top Bottom