Kuna kitu gani special katika hii pombe ya Hennessy?

Kuna kitu gani special katika hii pombe ya Hennessy?

Hii pombe ilinifanya nililetewa bill ya ajabu
Lounge moja maarufu hpo atwn...nliyokuwa nao walitaka kunikomoa niliwachia bill nikizuga naenda chooni kmbe ndiyo kimoja[emoji23][emoji23][emoji23]
Huko nyuma watu walibanwa wengine wakaacha sim zao mwingine gari alinyanganywa funguo
Warete hela mpaka leo madem hao hawana hamu na mimi[emoji23][emoji23][emoji23]
Hennesy hiyooooo

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Hahahahah ulisepetuka kinyele blaza 😂😂😂!!!

Tatizo ma slay queen wakikuona mtu wa kuvimba wanajiongezaga sasa unakuta wengine zile ni taizi tu za kimjinimjini...Mwamba huna mzigo kihivyo mwisho wake ndio mambo ya kutoka unyoya kukwepa bill
 
Pombe wanazosifia wanamuziki wa marekani ndio wabongo nao wanashoboka.

-Cris ,belaree,ciroc,barcadi na henesi.

=====
After the show it's the after party then
After the party it's the hotel lobby and
After the Belve' then it's probably Cris'.

You see V-I-P; me, Kelly, Gotti, and Hov'
Drinkin Cris' like its H-2-O
======

Fresh Prince of Bel-Aire, all they do is stare.
Not Fiesta remix ....R.Kelly ft Gotti,Jay Z?
 
Hii pombe ilinifanya nililetewa bill ya ajabu
Lounge moja maarufu hpo atwn...nliyokuwa nao walitaka kunikomoa niliwachia bill nikizuga naenda chooni kmbe ndiyo kimoja[emoji23][emoji23][emoji23]
Huko nyuma watu walibanwa wengine wakaacha sim zao mwingine gari alinyanganywa funguo
Warete hela mpaka leo madem hao hawana hamu na mimi[emoji23][emoji23][emoji23]
Hennesy hiyooooo

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Ungezubaa ungefilisiwa[emoji1]
 
Back
Top Bottom