Kuna kitu hakipo sawa hapa!

Kuna kitu hakipo sawa hapa!

DATAZ

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2012
Posts
3,799
Reaction score
10,196
Screenshot_20240627-151938.jpg

Sababu ni ipi? Je,
✓ ni bwana harusi?
✓ au ni bibi harusi?
✓ au ni best friend?
✓ au photographer?
 
Kwanini lakini ushike makalio ya Mke wa mwenzio? Any way, tuache issue ya kushika..

Kwanini Bibi harusi amekubali kushikwa makalio tena huku akitabasamu?

Why, why during her wedding someone touches her buttocks? Why?
 
Aiseee itakuwa pozi tu la picha mbwembwe zikapitiliza, ila jamaa amekula buyu, mpiga picha hakuwambia waseme ndiziii
 
Back
Top Bottom