Kuna kitu hakipo sawa kati ya Àzam Media na TFF

muafi

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2015
Posts
2,557
Reaction score
6,128
Licha ya Ligi ta azam confederation cup kupata mdhamini mpya CRBD Bank na ligi kitambulika rasmi kama CRDB bank Federation Cup, Azam wamegoma kuitambua benk ya CRDB katika ligi hiyo!

TFF ligi wanaitambua kama CRDB bank Federation cup,.
Azam ligi wanaitambua kama Azam federation cup!

je ni i tatizo?






au msomali kapiga mpunga bila kuwashirikisha Azam
 
Kwani azam mkataba wao si ulishaisha
 
Ngoja Bakhressa asuse, turudi kwenye kusikiliza mpira redioni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…