Tetesi: Kuna kitu kama Kimondo kimesikika kina sauti ya kutisha

Tetesi: Kuna kitu kama Kimondo kimesikika kina sauti ya kutisha

Mwaka jana au juzi Kagera (Ziwa Magharibi) hali kama hiyo kwa asilimia 100 ilitokea.
 
Nadhani itakuwa ni ile SPACE X iliyorushwa na NASA kuelekea sayari ya mars,ni jana kuamkia leo
 
Back
Top Bottom