Tetesi: Kuna kitu kama Kimondo kimesikika kina sauti ya kutisha

Mwaka jana au juzi Kagera (Ziwa Magharibi) hali kama hiyo kwa asilimia 100 ilitokea.
 
Kwa hiyo hakuna kilichotokea ni nasikia tuu wametuongopea.
 
Nadhani itakuwa ni ile SPACE X iliyorushwa na NASA kuelekea sayari ya mars,ni jana kuamkia leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…