Kuna kitu kibaya Wema Sepetu kafanyiwa(mtazamo wa jicho la tatu)

Kuna kitu kibaya Wema Sepetu kafanyiwa(mtazamo wa jicho la tatu)

Yaani wema, "mtoto mdogo ana sura ya zamani"

Tatizo anapenda sana kiki huyu binti
 
wema ana pepo la uongo jamani, kama alivyojisemea zari miss fekero kila kitu fake hakukosea kabisa , hii mimba imemtia aibu, sijui anavyodanganyaga hafikirii kesho, maana ana uongo wa kitoto sana
Nimemkumbuka Ney,Shika Adabu Yako
 
Anavuna alicho panda, usizuie mavuno. Mavuno ni mengi watendakazi ndio hivyo tena.
 
Alijiharibu mwenyewe
Angetulia hakika angefika mbali, tatizo skendo
 
Jamaa yangu #mshana jr nashangaa kuwa unasahau mfumo wa maisha ya Africa eeh?

Wa_africa kwanza hatuna direct love to relatives hivyo unapoandika issues anazo zushiwa huyo celebrate inaweza kuwa sahihi maana yupo kwenye bara linaloendana na mfumo huo.

Kwani unasahau issue ya Adebayoh ?
 
last year kulikua na thread hapa inasema "wema ana billion 7 kwenya a/c yake"+house 400 millions+shop at mwenge(disclosed fee).

Hivi jaman hiyo 1B yenyewe kuipata ujue ni shughuli pevu na si kirahisi kama watu wanavyofikiri hasa sembuse iwe 7... Hata Diamond bado hajafikia utajiri huo na show zake za abroad daily sembuse huyo Wema kwa kipi hasa!!?
 
Mshana Jr, mimi katika kupitia mada zako nikimtazama huyu dada naona hayuko kawaida. Pamoja na kupenda attention au kuathiriwa na tabia za mzazi. Kuna wakati unamuona kama vile anataka kurudi kuwa wema lakini inakuwa ngumu.
 
Back
Top Bottom