Kim Il Kwon
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 1,219
- 1,035
happy valentine day Miss. bila shaka kazi ilikuchosha. pole sana!Happy Valentine day nipo busy mkuu namalizia KAZI niliyoitiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
happy valentine day Miss. bila shaka kazi ilikuchosha. pole sana!Happy Valentine day nipo busy mkuu namalizia KAZI niliyoitiwa
Nimemkumbuka Ney,Shika Adabu Yakowema ana pepo la uongo jamani, kama alivyojisemea zari miss fekero kila kitu fake hakukosea kabisa , hii mimba imemtia aibu, sijui anavyodanganyaga hafikirii kesho, maana ana uongo wa kitoto sana
Asante sana mkuu .. Ila nilifanya vizuri sanahappy valentine day Miss. bila shaka kazi ilikuchosha. pole sana!
Hahahahahah duhh!Msaidie kichawi..
hahahaa kwa ubora uliotukuka!!Asante sana mkuu .. Ila nilifanya vizuri sana
Kata ya Mpigamiti..!!Wema anapenda sana haya magazeti yanavyomuandika
Angekua hataki angehamia zake kijiji cha Mkongotema tarafa ya Madaba mkoani Ruvuma mwisho wa kuandikwa na GPL ndo basi tena!
last year kulikua na thread hapa inasema "wema ana billion 7 kwenya a/c yake"+house 400 millions+shop at mwenge(disclosed fee).