Kuna kitu kibaya Wema Sepetu kafanyiwa(mtazamo wa jicho la tatu)

Mnaomfahamu Wema jaribuni kumuunganisha na Mshana Jr. Matatizo yake yote yatatatuliwa na nyota yake itang'ara tena!
 
Na madhaifu yake yote lakini kwa hili tumpe pole.Wabaya wake watakuwa wamefurah ilakumbuka mungu hapendi unavyomcheka mwenye matatizo.
 
Mimi najua dawa ya miti shamba inayozuia mimba kuharibika.Natamani kumsaidia lakin je nitampataje? Na ushaur wangu ataukubali?
 
wema amekubali hali aliyonayo sioni sababu wengine tusumbuke. wema alitaka maisha haya from the beginning no body to blame. hamna cha kumsaidia
 
Wema ana malipo yake kwenye hilo na atalipwa accordingly lakini sisi kama binadamu tuna jukumu la kuwaombea watu kama hawa kwakuwa nasi tuna mapungufu yetu na tunaombewa na wengine
Nimekuelewa mkuu wangu, lakini mimi huwa naboreka sana tena sana na mtu anayeingilia uumbaji wa mungu kumuambia mtu kasoro yake ya kimaumbile ni kumkosea mungu kwa mfano mtu akuongelee vibaya ukilema wako,ufupi wako,urefu wako,upofu wako,ubaya wako,mdomo wako kwa ujumla vile vitu vilivyo nje na uwezo wa binadamu kuvilekebisha ni jambo baya mno na lisilo sameheka mbele za mungu. Mimi namuombea aishi maisha marefu sana tena ikiwezekana apate mali nyingi mno,lakini kwenye la mimba aishie kujibebesha mimba feki tu maana anamkosoa sana mungu.
 
AOMBAYE NAYE HUPEWA...JE ALIOMBA MSAADA KUHUSU HAYO MAISHA ANAYOISHI?,,....AU WEWE UMEHISI ANAHITAJI KUSAIDIWA?

TUSUBIRI SIKU AKIJA KUOMBA MSAADA TUTAMSAIDIA.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbona umefurahi sana mkuu? Au unawaza yale mambo nini? Itabidi ujipange sawasawa kwani binti kama huyu alishaona vingi na ukienda na staili za Kipare aisee waweza adhirika. Good luck sir!
 
Kuhusu nyota,hili halina ubishi,huyu mtoto ana nyota kali hakunaga.Lakini pia anajua sana kutengeneza 'kiki'.Wema ni definition ya celebrity life,iguess hayo maisha ndio aliyo chagua.
 
Kilichomshushia heshima ni yeye mwenyewe kujishushia heshima
 
Simchukii na namchukulia km mtu wa kawaida ss ww unayefatilia maisha ya watu kaz kwako,
 
mshana jr, hivi unaupata wapi ujasiri wa kumtetea huyu shori.

KUNA WAKATI "UNATAKIWA KUWA NA MOYO KAMA WA MWENDA WAZIMU" KUMTETEA WEMA SEPETUNGA....BY THE WAY ANGEKUWA ANAHITAJI MSAADA NAJUA MAGAZETI YOTE YA UDAKU YANGESHAANDIKA NA TAYARI UNGEKUTA MITANDAO YOTE YA KIJAMII NA TEAM ZAO WAMESHAJAZA MITANDAO.
 
KUNA WAKATI "UNATAKIWA KUWA NA MOYO KAMA WA MWENDA WAZIMU" KUMTETEA WEMA SEPETUNGA....BY THE WAY ANGEKUWA ANAHITAJI MSAADA NAJUA MAGAZETI YOTE YA UDAKU YANGESHAANDIKA NA TAYARI UNGEKUTA MITANDAO YOTE YA KIJAMII NA TEAM ZAO WAMESHAJAZA MITANDAO.
Itazame hali yake kwa jicho la kiroho utagundua kitu
 
Ana nyota ya mafanikio maana yake ukitembea nae una win
NAPINGA HOJA...KATIKA LIST YA WATU WALIOMGONGA WEMA NINAO USHAHIDI TOSHA KUWA HAWAJAFANIKIWA AU KU-WIN KAMA WATU WA MUJINI MUNAVYOSEMA
1- TEJA MWINYI...MPAKA AKAIBUKIA MAHAKAMANI KINONDONI
2- TID MNYAMA, WARIOBA KINGUNGE...KILA SIKU YEYE NA MAHAKAMA KAMA KARANI WA MAHAKAMA
3- YULE WA BLUE...BYSER BABYYYYYY
4- WENGINEO WENGI TUU WANAJIJUA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…