Kuna kitu kibaya Wema Sepetu kafanyiwa(mtazamo wa jicho la tatu)

Itazame hali yake kwa jicho la kiroho utagundua kitu

KAKA JICHO LA KIROHO WENGINE HATUNAGA NDIO MAANA TUNAKIMBILIA KWA MASHEIKH MAPADRE WACHUNGAJI MANABII NA MITUME WANATUTAZAMIA YETU YA KIROHO...KWAHIYO MSHANA WEWE NI MGANGA WA JADI UMEONA WEMA ANATATIZO LA KIROHO?
UMEANZA KUMFAHAMU WEMA LINI?.....UNAELEWA MALEZI YAKE? BAADA YA KUWA MISS UNAELEWA NINI KILIFUATIA KWENYE MAISHA YAKE?....SHULE/COLLEGE KULE MALAYSIA/INDONESIA ILIKUWAJE?....UNAKUMBUKA ISHU YAKE YA KUFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUVUNJA GARI YA MAREHEMU? UNAMKUMBUKA TEJA MWINYI ALIYEKUWA ANAJIGONGEA MZIGO?....KWANINI HILI SUALA USIMUACHIE YEYE MWENYEWE KAMA MZEE JK ALIVYOAMUA KUMUACHIA RAY C MAISHA YAKE MWENYEWE?

KIFUPI NI KUWA WEMA NA MAMA YAKE WANAJUA ZAIDI KUHUSU MAISHA YA WEMA....HATA MAREHEMU MSHUA WAKE ALIKUWA HAJUI KABISA NINI KINAENDELEA..THEY SAYS LIKE FATHER LIKE SON...OBVIOUS LIKE MOTHER LIKE DAUGHTER....KUMSAIDIA WEMA ANZA NA MAMA YAKE.
 
Akalewa sifa , akapotea. Sasa ndo anatumbukia shimoni kabisa. La sivyo, abadilike na kujiona ni mtu mzima.
 
Ni kumpa Wema promoshen ya bure tu. Wanaume wengi tuna ugonjwa wa kupenda matako makubwa. Hakuna kitu kilichoharibika hapo, ingawa ni picha ya kutengenezwa.
hivi wema ana matako makubwa
 
Nadhani mtu huwa anajisaidia yy ndo asaidiwe,cc tunatumia nguvu nyingi hapa kuongea lkn sidani kama yy anaona inamfaa kubadilika,hajaanzwa leo kusemwa,hv kweli hawez kaa chini hata cku moja akasema kwann kila cku mm tu???kwann asiangalie mamiss wenzake wako wapi???Mm nahis anapenda kusemwa c bure, anaona raha kuchorwa chorwa
 
Kwa replies za kwenye hii post ni wazi kuwa Wema ni public enermy na hakuna hata mmoja anayetaka kutafakari ni kwa nini bali kila mmoja wetu anajitahidi kutoa nyongo zake kwa wema
Nina hakika Wema kawakosea watu wengi sana lakini je ni kweli hata wewe kakukosea? Na ni kosa gani hilo lisilosameheka?
Simtetei Wema kama ID bali Wema kama binadamu....tuna ndugu zetu wengi wenye matatizo mengi tu kama au kuzidi ya Wema kwahiyo vile tunavyowachukulia wao na Wema naye tumchukulie hivyo hivyo
 
P
 
speechless. kwa uzuri ni mzuri wacha tumpe sifa zake
 
wema anachofanya ni Y O L O, tumwache afanye ya kwake jamani
 
Mshana katumwa na Wema <3
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji781] [emoji781] [emoji781] [emoji781] [emoji779] [emoji779] [emoji779]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…