Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
Maneno yako nayaamini nikikumbuka tulivoshangilia draw na Mtibwa! pale Shamba la bibi! Yaani draw na Mtibwa, Taifa!Simba wepesi tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maneno yako nayaamini nikikumbuka tulivoshangilia draw na Mtibwa! pale Shamba la bibi! Yaani draw na Mtibwa, Taifa!Simba wepesi tu
Hivi mwa mfano ile sub ya Mkude jana ililenga kufanya nini? Labda Mi Mbayuwayu!Tatizo kocha kashindwa hata kupanga kikosi.
Kumdhibiti Tshishimbi,kiungo kilikufa Kotei alizidiwaHivi mwa mfano ile sub ya Mkude jana ililenga kufanya nini? Labda Mi Mbayuwayu!
Amog alikuwa na chuki na Ajibu na Mkude, akisingizia kuwa walikuwa wanajidai na wavivu wa mazoezi.hat hivyo we ukiangalia kuna wa kumuweka benchi ajibu pale... haya tujulishe huyu gyan tuliyeambiwa ni hatari yu wapi