Kuna kitu kinakosekana Simba sc

Kuna kitu kinakosekana Simba sc

hat hivyo we ukiangalia kuna wa kumuweka benchi ajibu pale... haya tujulishe huyu gyan tuliyeambiwa ni hatari yu wapi
Amog alikuwa na chuki na Ajibu na Mkude, akisingizia kuwa walikuwa wanajidai na wavivu wa mazoezi.
Ndo maana hadi leo hii, Amog hamtumii Mkude inavyopasika na akiendelea hivyo Mkude ataenda Yanga.
Aliyemwondoa Ajibu Simba ni Kocha Amog.
Mkude naye nusura aende Yanga, na bado anaanzia benchi pamoja na ubora wake ktk soka.
Mkude anavumilia tu pale Simba, hana fulaha kabisa ya kulikalia benchi.
Mi nasema chini ya kocha Amog, Simba ubingwa watausikia Redioni.
Mwaka jana kama kocha Amog asinge mkalisha benchi Ajibu halika tungechukua ubingwa wa ligi ya VPL.
Amog ndiye anaye wapa ubingwa Yanga fc, hata msimu huu atawapa.
 
Back
Top Bottom