Kuna Kitu nataka niseme kuhusiana na Mechi ya Leo ngoja ninyamaze Presha zisiue Watu

Kuna Kitu nataka niseme kuhusiana na Mechi ya Leo ngoja ninyamaze Presha zisiue Watu

Unajisikiaje kwa kuifanyia uchuro Taifa stars?
Nimesikia Furaha mno kwani haiwezekani Watu wenye Shida hasa ya Kimaisha ( hasa Mahospitalini ) hawasaidiwi na Wanateseka huku Wengine wakishindwa Kulipia Gharama za Kuchukua Maiti zao Mochwari halafu kuna Mtu Mmoja huku anafuja Pesa za Watanzania Kulipia Magoli ya Simba, Yanga na Taifa Stars ili Kujijenga na Kujiimarisha zaidi Kisiasa ( hasa Uchaguzi Mkuu ujao wa 2025 ) na asifiwe na Mazuzu wengi anaowaongoza kuwa ni Mtu wa Michezo na Mtu wa Watu.

Hovyo kabisa.......!!!!!!!
 
Nimesikia Fursa mno kwani haiwezekani Watu wenye Shida hasa ya Kimaisha ( hasa Mahospitalini ) hawasaidiwi na Wanateseka huku Wengine wakishindwa Kulipia Gharama za Kuchukua Maiti zao Mochwari halafu kuna Mtu Mmoja huku anafuja Pesa za Watanzania Kulipia Magoli ya Simba, Yanga na Taifa Stars ili Kujijenga na Kujiimarisha zaidi Kisiasa ( hasa Uchaguzi Mkuu ujao wa 2025 ) na asifiwe na Mazuzu wengi anaowaongoza kuwa ni Mtu wa Michezo na Mtu wa Watu.

Hovyo kabisa.......!!!!!!!
Tumekusikia Mkuu, asiyesikia la Mkuu....!
 
Back
Top Bottom