GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #61
Nimesikia Furaha mno kwani haiwezekani Watu wenye Shida hasa ya Kimaisha ( hasa Mahospitalini ) hawasaidiwi na Wanateseka huku Wengine wakishindwa Kulipia Gharama za Kuchukua Maiti zao Mochwari halafu kuna Mtu Mmoja huku anafuja Pesa za Watanzania Kulipia Magoli ya Simba, Yanga na Taifa Stars ili Kujijenga na Kujiimarisha zaidi Kisiasa ( hasa Uchaguzi Mkuu ujao wa 2025 ) na asifiwe na Mazuzu wengi anaowaongoza kuwa ni Mtu wa Michezo na Mtu wa Watu.Unajisikiaje kwa kuifanyia uchuro Taifa stars?
Hovyo kabisa.......!!!!!!!