Kuna kitu naweza kusema kipo ila kitakuwa kigumu ila kipo kuthibitisha kwa biashara viungo vya binadamu.

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Kuna nchi unatakiwa kuwa makini na kuanzia mazoea,msosi, vinywaji mpaka unapofikia na ili swala lipo.

Ila tanzania bado tujaweza sasa kuhusu na maswala ya biashara ya viungo kama figo maana ndio bidhaa ambayo naogopa kuingiza mada hapa.

Je wale ambao wamenusurika au kuomba uchunguzi wa marehemu wakanyimwa walisha uliza kuhusu vifo au ndio tuseme walipotea.
 
Hii biashara hata mimi naishtukia ila kwa uwazi fulani ipo kwa waganga wa kienyeji (Ushirikina) kwani Ushahidi upo kwa waliokamatwa na viungo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…