Kuna Kitu Rais Samia Amekisema Kuhusu Kurejea Kizimkazi “Post 2025”. Nashauri na Nasisitiza Wenye Uwezo Kusaidia, Tumsaidie Kumshauri Ukweli!

labda giza kwa maana ya kidini lakini kwa lugha za kidunia umeme umeshaanza kutengamaa. SSH anafanya mengi mazuri huko mikoani kwa ujumla lakini asijiamini sana, hakuna ajuaye kesho inafanana vipi.
Du mimi sikumaanisha umeme ..bora ingekuwa ni giza la umeme bali giza ninalo sema mimi ni baya sana ni giza la mfano wa mkataba wa bandari na maovu mengi sana mfano udini utatumika kufanikisha ufisadi wa mafisadi....giza la utanganyika na uzanzibari ..giza la wananchi kudharauliwa na viongozi na kutukuzwa wageni ...giza la kuabudu mafisadi ya kizungu na kiarabu giza la udini ..giza la siasa na uchaguzi ...giza la kukosekana kwa haki...giza la nchi kukabidhiwa waarabu na mabeberu kwa mikataba ya kifisadi inayo fichwa sana nk..............nk............nk
 
Kwamba uraus mpaka 2030, mwaka 2025 wasigombee, watakufa kifo cha asili maana kura za urais si zina mchango pia kwenye ruzuku ya chama?
 
 
Huwa najiuliza huyo YEYE ni nani? anayeamua raisi awe fulani na si fulani.
 
Kweli ukiingia Siasa unajiweka kuwa Immortal
Na dini unaweka mbali
Yaani mimi ya baada ya saa siyajui ila watu wanajipangia kabisa ya mwakani halafu bila kusema God knows au If God Will
Siingii siasa hata mnipe nini maana bora dini
 
HBD Rais Samia!.
P
 
Mkutano Mkuu wa Chama umempitisha Tayari

Hivi Chadema mwenyekiti wao anaruhusiwa kugombea Urais? Anyway kwanza watasusa.

Ni Mwanamke wa CCM vs Mwanamke wa ACT
 
Kauli hiyo ya Rais Samia sio tuu
Mkuu, Kauli hiyo ya Samia katika video clip anasema 2018/2029 akikaribia kurudi Kizimkazi anataka kuacha legacy kwa vijana maafisa ugani. Je una neno gani la kusema hasa unapomemorise your voice from within?
 
Mara 1,1 huwa unaandika vitu kuntu.

Shida viongozi wetu hawashauriki, madaraka yanawalevya.
 
Na hata jana Arusha kwenye Women’s Day alisema nyingine ya kitaifa itakua in 2030 na ndio ataaga rasmi,namna hii hakuna haja ya uchaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…