Kete Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 6,656
- 6,886
Kikwete peke yake ndie alimuweza huyu mwamba ila kwa huyu bibi hamna kitu tutuzwa peupe hadharani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uzi uishiwe, ufungwe. na hii comente iwekewe lamination. jamaa ni matakoli.Ujamaa uliwajaza wabongo ujinga na inferiority complex. Mnaogopa kila kitu hadi vinchi vidogo kama ghetto. Rwanda mnaiogopa kwa lipi hasa? Ujinga tu.
Mnaogopa wageni kuja nchini, mnaogopa kwenda nje, mnaogopa kushindana globall, mnaamini hamuwezi nyie ni watu wa kuibiwa na kuonewa tu. Inferiority complex of the highest order.
Ndo maana mm nasema Jwtz wasijiamini sana ila pia tuko vizuri hako ka nchi km uchochoro kasilogwe kuleta upuuzi tutakatoa kamasiUbora wa jeshi hautegemei ukubwa wa nchi, ni intelejensia, vifaa pamoja na wajeda wenyewe. Rejea Vita ya siku sita Kati ya kanchi Israel lkn mataifa kadhaa ya waarabu yalikaa.
B4
Vita haina macho mkuu, unaweza kuiita Rwanda kamkoa halafu wakatulambisha mchanga.
Vita ina strategy nyingi sana kuliko tunavyojaribu kufikiri, Vita sasa hivi ni technolojia na walio nyuma yako kukusupport.
Tanzania tunapaswa kuwa makini sana na haya mawazo ya Vita Vita na kama kuna ulazima basi iwe ni option ya mwisho.
Mabeberu wanatutamani sana ili watudestabilize tuwe kama DRC wajichotee mali kirahisi sana kwa kutumia vibaraka wao ambazo wengine ni jirani zetu na wengine tuko nao humu humu tunaishi nao.
Tunahitaji kuwaza Kwa akili nyingi sana na kuwekeza sana kwenye intelejensia ili tujilinde kutoingia vitani na yeyote yule, kifupi tuwe na ujasusi hatari wa kimafia wenye uwezo wa kumfikia yeyote yule popote alipo ila Tu tukishajiridhisha ana nia mbaya na Taifa letu.
Kweli mkuu sidhani kama jeshi letu litakua halijui janja janja ya hako ka nchi.Rwanda wajanja wajanja sana ila wasirogwe walete huo ujinga hapa tz .Hawa si mara ya kwanza kupima kina cha maji bongo kuna kipindi Mh kikwete alianzisha operation ya kuwakimbiza maana ujambazi utekaji nyara ulizidi walipo fanya operation na kuwarudisha kwao utekaji nyara pori la biharamulo ukapungua ujambazi kanda ya ziwa ukapungua .Vita haina macho mkuu, unaweza kuiita Rwanda kamkoa halafu wakatulambisha mchanga.
Vita ina strategy nyingi sana kuliko tunavyojaribu kufikiri, Vita sasa hivi ni technolojia na walio nyuma yako kukusupport.
Tanzania tunapaswa kuwa makini sana na haya mawazo ya Vita Vita na kama kuna ulazima basi iwe ni option ya mwisho.
Mabeberu wanatutamani sana ili watudestabilize tuwe kama DRC wajichotee mali kirahisi sana kwa kutumia vibaraka wao ambazo wengine ni jirani zetu na wengine tuko nao humu humu tunaishi nao.
Tunahitaji kuwaza Kwa akili nyingi sana na kuwekeza sana kwenye intelejensia ili tujilinde kutoingia vitani na yeyote yule, kifupi tuwe na ujasusi hatari wa kimafia wenye uwezo wa kumfikia yeyote yule popote alipo ila Tu tukishajiridhisha ana nia mbaya na Taifa letu.
Yule asilogwe kabisa wabongo tumepigika na maisha hasira zinaweza kumuishia yeye ndani ya masaa tu wazee wa magwandwa wakawa kigali wanakunywa chai ya rwanda ikulu maana kainchi kenyewe bado hakana utulivu wahutu wanatafuta tu nani alianzisheMsumbiji kajipeleka kijanja ..... anatega kiulinzi ..... anajua sisi tunaweza kupita Burundi .... Kongo na kwetu huku kumdhibiti .... Yeye nae kaenda kusini .... janja janja hata raia kama mimi naiona kidwazi tu ....
Utakuwa mnyarwanda supporter wa Kagame au pandikizi lakeUjamaa uliwajaza wabongo ujinga na inferiority complex. Mnaogopa kila kitu hadi vinchi vidogo kama ghetto. Rwanda mnaiogopa kwa lipi hasa? Ujinga tu.
Mnaogopa wageni kuja nchini, mnaogopa kwenda nje, mnaogpa uraia pacha, mnaogopa kushindana globally, mnaamini hamuwezi nyie ni watu wa kuibiwa na kuonewa tu. The inferiority complex of the highest order.
Rais Kagame wa Rwanda amekuwa mtu hatari kwa nchi majirani licha kujifanya mwana afrika.
Huyu ni mtu mlafi mbinafsi mkabila na kibaraka wa Marekani. Anafanya lolote kwa nchi za magharibi mradi wanampa pesa.
Amegeuza jeshi lake mamluki kwa kulipeleka kupigana popote mradi askari zake na yeye wanapata pesa.
Jeshi lake limekuwa Congo DR miaka yote kwa jina la M23 ili kuiba madini ya Congo kwa niaba ya makampuni ya kigeni na yeye binafsi na washirika wake Uganda.
Hivi leo Kagame ni rais wa tatu au wa nne kwa utajiri Afrika kutokana na wizi wa madini Kivu ya Kaskazini.
Kufuatana kumbukumbu ya M23 kuwahi kutwangwa na JWTZ na kutimuliwa nje ya Congo hadi Uganda, baada ya kuona msaada wa mizinga ya jwtz kuja tena kwa kuisadia fardc wahuni wa M23 wameshituka na kuanza kutishia kuwateka askari wa JWTZ nchino DRC.
Rwanda silaha na biashara kubwa inapitia Tanzania. Tusijidai eti tunajali biashara kuliko usalama wetu. Ni muda sasa kumkabili Kagame ama sivyo tutakuja kujuta.
Juzi tu hapa tumepata hofu baada ya kuhisi Kagame kuhusika kwa namna moja na mpango wa bandari zetu kuporwa na kampuni ya DP ya dubai ambayo tayari iko Rwanda.
Pia ningewashauri Msumbiji wasiamini majeshi ya Rwanda kuwasaidia kumaliza waasi Kaskazini mwa nchi hiyo maana Rwanda watageuza mapigano hayo uwekeza wa biashara na watajikuta majeshi hayo hayaondoki na vita haviishi.
Utakuwa mnyarwanda supporter wa Kagame au pandikizi lake
Maana una itetea sana Rwanda kuliko Tanzania, nyuzi zote za Kagame uko mbele kuitetea , wewe utakuwa ni wale waliosemwa na CDF
You lack comprehension skills. Naitetea TZ sababu sioni tija ya giant kama TZ kukawaza kanchi kadogo kama ghetto RW. TZ na RW ni heaven and earth, TZ imeizidi RW kwa kila kitu hadi pisi kali and I stand on it.
RW is overated, wabongo mmejazana ujinga tu bila sababu zote za msingi ila sishangai, ujinga na inferiority complex bongo ni janga la taifa. Wabongo ni watu inferior kuliko watu wote niliowahi kukutana nao so far. Mkiulizwa RW ina nini cha ajabu hamna zaidi ya story za mtaani mlizojana and y'all ran with it.
Viongozi jukymy Kai wananchi wajibu wetu kupaza sautiRais Kagame wa Rwanda amekuwa mtu hatari kwa nchi majirani licha kujifanya mwana afrika.
Huyu ni mtu mlafi mbinafsi mkabila na kibaraka wa Marekani. Anafanya lolote kwa nchi za magharibi mradi wanampa pesa.
Amegeuza jeshi lake mamluki kwa kulipeleka kupigana popote mradi askari zake na yeye wanapata pesa.
Jeshi lake limekuwa Congo DR miaka yote kwa jina la M23 ili kuiba madini ya Congo kwa niaba ya makampuni ya kigeni na yeye binafsi na washirika wake Uganda.
Hivi leo Kagame ni rais wa tatu au wa nne kwa utajiri Afrika kutokana na wizi wa madini Kivu ya Kaskazini.
Kufuatana kumbukumbu ya M23 kuwahi kutwangwa na JWTZ na kutimuliwa nje ya Congo hadi Uganda, baada ya kuona msaada wa mizinga ya jwtz kuja tena kwa kuisadia fardc wahuni wa M23 wameshituka na kuanza kutishia kuwateka askari wa JWTZ nchino DRC.
Rwanda silaha na biashara kubwa inapitia Tanzania. Tusijidai eti tunajali biashara kuliko usalama wetu. Ni muda sasa kumkabili Kagame ama sivyo tutakuja kujuta.
Juzi tu hapa tumepata hofu baada ya kuhisi Kagame kuhusika kwa namna moja na mpango wa bandari zetu kuporwa na kampuni ya DP ya dubai ambayo tayari iko Rwanda.
Pia ningewashauri Msumbiji wasiamini majeshi ya Rwanda kuwasaidia kumaliza waasi Kaskazini mwa nchi hiyo maana Rwanda watageuza mapigano hayo uwekeza wa biashara na watajikuta majeshi hayo hayaondoki na vita haviishi.
Wabongo wengi ni mazuzu alafu wafuata Mkumbo.
Akisikia Watu wanasema Kagame kiboko wanadandia tela. Kila mtu kagame kiboko hata kama hawajui na hawana uthibitisho.
Wakisikia neno fulani wanalidandia kama mazuzu. Utasikia magonjwa ya akili,nao hayo magonjwa ya akili hata kwa visivyo na ithibati.
Yakisikia uchumi wa kati nao hao.
MkuuMjinga tu wewe. Nani alikudanganya eti watanzania wako inferior. Sisi tunawaangalia mkigombea kula kama mafisi huko kwenu. Ukweli tunawashangaa.
Mkuu
Sometimes unapoona ukweli kubaliana nao tujijenge kutoka kwenye huo udhaifu
Sisi Watanzania tunaogopa wageni,hii ni FACT....tunaogopa kwenda nje,hii ni FACT...na tunaogopa Kingereza,hii ni FACT....tunaogopa biashara,hii ni FACT!
Cha msingi tujue haya mapungufu,tuyakiri,ndio tujirekebishe,....unasahau safari ya kujirekebisha udhaifu ni kuukiri kwamba upo na ni kazi yako kuundoa
Hii kugeuka kumwaga mapovu wakati ni FACT ni ukichaa tu unaonesha hapa
Pia,tuna mazuri yetu mengi tu kuwazidi Wakenya....na wao wana mazuri mengi tu kutushinda,ni kurekebisha mabaya na kukazia mazuri tuwe competitive
Vita hivyo waarabu ni sawa walipigana na marekani. Marekani waliwapa kila msaada israel kama wanavyofanya sasa kwenye vita ya gaza. Ukweli usemwe israel ni sawa na mojawapo ya states za marekani kwa namna inalindwa na nchi hiyo.Ubora wa jeshi hautegemei ukubwa wa nchi, ni intelejensia, vifaa pamoja na wajeda wenyewe. Rejea Vita ya siku sita Kati ya kanchi Israel lkn mataifa kadhaa ya waarabu yalikaa.
B4