Kuna kitu Rwanda inachokitafuta Tanzania! (Serikali, nchi yetu ni salama kiasi gani?)

uzi uishiwe, ufungwe. na hii comente iwekewe lamination. jamaa ni matakoli.
 
Ubora wa jeshi hautegemei ukubwa wa nchi, ni intelejensia, vifaa pamoja na wajeda wenyewe. Rejea Vita ya siku sita Kati ya kanchi Israel lkn mataifa kadhaa ya waarabu yalikaa.

B4
Ndo maana mm nasema Jwtz wasijiamini sana ila pia tuko vizuri hako ka nchi km uchochoro kasilogwe kuleta upuuzi tutakatoa kamasi
 
CCM aka fisiemu ni hatari kwa taifa hili kuliko huyo Kagame
Tudeal na issues zinazotuhusu
Upuuzi unaoendelea humu chini ya serikali ya ccm ni tishio kubwa kwa future ya hii nchi
 

Huu ni ujinga mwingine mliojazwa wabongo. Nobody cares about TZ, matter of fact, hawaifahamu kabisa. Aliewajaza huu ujinga wa mabeberu kuwatamani aliwaweza. Mtamaniwe kwa kipi hasa? Mpo top10 ya nini ndani ya Africa let alone duniani?

Ukitoa tanzanite ambayo ni kwaajili ya kutengeneza vidani tu hakuna rasilimali nyingine yeyote ambayo tunazalisha kiasi cha kutamaniwa. Gold SA, Mali, Ghana wametuacha mbali sana, natural gas na oil hata msiwaze, kilimo msiguse kabisa, Malawi tu hapo wanazalisha mahindi karibu mara tatu zaidi yenu na ni nchi ndogo kama kitongoji. Hamzalishi workforce, watu wenu ni incompetent, hawajui lugha na elimu yenu ni bomu. Nani awatamani?

ChoiceVariable soma ngonjera za hawa wabongo eti mabeberu wanawatamani 😂 😂 😂 hii ni inferiority complex in disguise. Mnajazwa ujinga na kuogopa wageni kwa kisingizio mnatamaniwa.
 
Kweli mkuu sidhani kama jeshi letu litakua halijui janja janja ya hako ka nchi.Rwanda wajanja wajanja sana ila wasirogwe walete huo ujinga hapa tz .Hawa si mara ya kwanza kupima kina cha maji bongo kuna kipindi Mh kikwete alianzisha operation ya kuwakimbiza maana ujambazi utekaji nyara ulizidi walipo fanya operation na kuwarudisha kwao utekaji nyara pori la biharamulo ukapungua ujambazi kanda ya ziwa ukapungua .
 
Msumbiji kajipeleka kijanja ..... anatega kiulinzi ..... anajua sisi tunaweza kupita Burundi .... Kongo na kwetu huku kumdhibiti .... Yeye nae kaenda kusini .... janja janja hata raia kama mimi naiona kidwazi tu ....
Yule asilogwe kabisa wabongo tumepigika na maisha hasira zinaweza kumuishia yeye ndani ya masaa tu wazee wa magwandwa wakawa kigali wanakunywa chai ya rwanda ikulu maana kainchi kenyewe bado hakana utulivu wahutu wanatafuta tu nani alianzishe
 
Utakuwa mnyarwanda supporter wa Kagame au pandikizi lake

Maana una itetea sana Rwanda kuliko Tanzania, nyuzi zote za Kagame uko mbele kuitetea , wewe utakuwa ni wale waliosemwa na CDF
 

Hivi utakuwa na wasiwasi na mtu ambaye unajua kabisa hana miaka 20 mbele?

Kagame akishaondoka Rwanda înarudi ilipotoka
 
Utakuwa mnyarwanda supporter wa Kagame au pandikizi lake

Maana una itetea sana Rwanda kuliko Tanzania, nyuzi zote za Kagame uko mbele kuitetea , wewe utakuwa ni wale waliosemwa na CDF

You lack comprehension skills. Rather naitetea TZ sababu sioni tija ya giant kama TZ kukawaza kanchi kadogo kama ghetto RW. TZ na RW ni heaven and earth, TZ imeizidi RW kwa kila kitu hadi pisi kali and I stand on it. Nenda Singida, Manyara, Arusha kaangalie wale watoto walivyonyooka na mahaga yao afu fananisha na hizo pisi za RW zote zenye sura moja kama wote wamezaliwa na baba mmoja. Hapo sijagusa makao makuu- DSM.

RW is overated, wabongo mmejazana ujinga tu bila sababu zozote za msingi ila sishangai, ujinga na inferiority complex bongo ni janga la taifa. Wabongo ni watu inferior kuliko watu wote niliowahi kukutana nao so far. Mkiulizwa RW ina nini cha ajabu hamna zaidi ya story za mtaani mlizojana and y'all ran with it.
 
African proverb:
1. You are relieving your self in the bush while holding down by foot a small plant that will deface you!!
2....
3....
===
Sisi tumemaliza kujichunguza....! Tunao "mules" wangapi?
 

Wabongo wengi ni mazuzu alafu wafuata Mkumbo.
Akisikia Watu wanasema Kagame kiboko wanadandia tela. Kila mtu kagame kiboko hata kama hawajui na hawana uthibitisho.

Wakisikia neno fulani wanalidandia kama mazuzu. Utasikia magonjwa ya akili,nao hayo magonjwa ya akili hata kwa visivyo na ithibati.
Yakisikia uchumi wa kati nao hao.
 
Viongozi jukymy Kai wananchi wajibu wetu kupaza sauti
 

Mtibeli, I couldn't agree more. Hawa wabongo wanahitaji msaada wa kifikra, reasoning capacity yao ndogo sana.
 
Mjinga tu wewe. Nani alikudanganya eti watanzania wako inferior. Sisi tunawaangalia mkigombea kula kama mafisi huko kwenu. Ukweli tunawashangaa.
Mkuu

Sometimes unapoona ukweli kubaliana nao tujijenge kutoka kwenye huo udhaifu

Sisi Watanzania tunaogopa wageni,hii ni FACT....tunaogopa kwenda nje,hii ni FACT...na tunaogopa Kingereza,hii ni FACT....tunaogopa biashara,hii ni FACT!

Cha msingi tujue haya mapungufu,tuyakiri,ndio tujirekebishe,....unasahau safari ya kujirekebisha udhaifu ni kuukiri kwamba upo na ni kazi yako kuundoa

Hii kugeuka kumwaga mapovu wakati ni FACT ni ukichaa tu unaonesha hapa

Pia,tuna mazuri yetu mengi tu kuwazidi Wakenya....na wao wana mazuri mengi tu kutushinda,ni kurekebisha mabaya na kukazia mazuri tuwe competitive
 

Truer words have never been spoken.
 
Ubora wa jeshi hautegemei ukubwa wa nchi, ni intelejensia, vifaa pamoja na wajeda wenyewe. Rejea Vita ya siku sita Kati ya kanchi Israel lkn mataifa kadhaa ya waarabu yalikaa.

B4
Vita hivyo waarabu ni sawa walipigana na marekani. Marekani waliwapa kila msaada israel kama wanavyofanya sasa kwenye vita ya gaza. Ukweli usemwe israel ni sawa na mojawapo ya states za marekani kwa namna inalindwa na nchi hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…