Kuna kitu Rwanda inachokitafuta Tanzania! (Serikali, nchi yetu ni salama kiasi gani?)

Hii ya kumuhusisha kagame na dp world ni hoja isiyo na mashiko .
Ni sawa na Simba kufungwa na yanga goli 5 ukamlaumu azam fc au mtibwa sugar fc .
 
Mnaeza mkawa wengi afu wote wajinga, ni ngumu kupata changes. Tusiende mbali mfano mzuri ni wafuasi wa CCM ni wengi afu wote wajinga tusitegemee lolote nchi hii.
Kuna wafuasi wa CCM au wafuasi wa maslahi!?
Huyo ndugu yako anajua ndio maana anaua kila anayehisi yuko kinyume naye
awe mhutu au mtusi.
Lakini siku zake zinahesabika
 
Watu waanze kuogopa mtu anayetawala Nchi ndogo kuliko Tabora, idadi ya watu sawa na mikoa yetu sita tu. Kiuhalisia anatakiwa aiogope CCM zaidi, Tanzania ina vijana wengi na haijuwi pakuwapeleka.
Ukubwa wa nchi au idadi ya watu sio issue, kuna nchi nyingi sana duniani ndogo kuliko Tanzania na zina uwezo wa kuitandika TZ in 24 hours na wakachukua mpaka ikulu, mfano Israel eneo 8000 square miles, Belgium 11,000 Tanzania 365,000 square miles, vipi unaweza kupigana nao hao? lazima akili zako zimejaa matope tuu
 
Msilinganishe Rwanda na Israel. 😂😂😂

Mkilewa msitype
 
Angalia GDP ya Belgium na Israel compared to Tanzania halafu Rwanda compared Tanzania. Halafu ujiulize kama hata hiyo akili unayo.
 
sijui umeelewa kwanini nimeandika au , anyway that was my point, wenzako wanafikiri ukubwa wa eneo ndio nguvu, ndio maana nikato mfano wa Belgium ambayo ni kama mkoa wa Iringa tuu
Mifamo yako haina mashiko kwenye hii mada. Naomba ulete mifano yenye uhalisia au karibu na uhalisia.
 
Sio kwamba ni majina yamefanana tu mkuu
 
Binafsi nimesema mara kadhaa humu kuwa, EAC haiwezi kustawi kama inavyooneshwa kwenye maandishi endapo Museveni na Kagame hawatabadili attitude yao kwa Congo. Wanacho kifanya kwa Congo wanaweza mfanyia jirani yeyote.
Yale ni mauaji tupu
 
Wewe ni Mnyarwanda?

Kiherehere tu kwa mambo yasiyo kuhisu😀
Ningekua mnyarwanda hata kama niko nje kwa usalama wa jamaa yangu ningepata hofu kumsema pk vibaya. Yeye na usalama wake ni wauaji ovyo kwa wanaompinga.
 
Yale ni mauaji tupu
Hayo ya hapo karibu yanayokuzunguka, yanayotupa watu baharini Kwa viroba, matekaji na yanayopiga watu risasi mchana huyaoni, Kigali haiitwi the safest city in Africa Kwa maneno tuu ni safe kweli kweli na wanaoishi Kigali au waliotembelea wanajua ,utakuwa safe in Kigali wewe na mali zako 100% kuliko bongo na hakuna mtu atakusumbua, kukuomba rushwa au kukubambikia kesi, ila kama utaleta siasa zako za ukabila au interahamwe watakushughulikia to the maximum, wenzako bado wanakumbuka genocide ilivyowafanya
 
Rubbish
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…