msimamia kucha
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 683
- 551
Hizi ni propaganda tu...kama vipi kichapo kitawahusu....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ua sifa zote za mtu anayepaswa kupuuzwa...so, if u don't mind, feel urself comfortable into ignored user bin.huna hoja bali porojo kama za yule aliyekuwa msemaji wa serikali ya sadam kuwa wamarekani bado wako kuwit kumbe wako Sheraton ya Baghdad,kama wapinzani wanapata habari nyeti kwasabb zinauzwa na wapenda pesa itakuwa kagame akizitaka kwa hao mafisadi wako unao waamini atazikosa?hii nchi kila mtu anauza ofisi yake pole kama ujalijua ilo
Watanzania, tuelewe kuwa rwanda walikuwa na nia kubwa ya kutwa ardhi ya Zaire kaskazini na kujiongezea sphere of influence kwenye region, na hasa ukikumbuka kuwa waganda , nao wako Upande wa rwanda, kwa mtazamo huu, ukubwa wa rwanda ni hatari kubwa kwa usalama wa tanzania . Alichofanya kikwete ni kuwabana wanyarwanda kwenye milima Yao Saba, na kuiongezea nguvu serikali ya congo, Hali hii imewaudhi sana wanyarwanda hasa wale diaspora ambao walidhani kuchukua eneo la congo kungewarudisha nyumbani, kwa Hilo kikwete kacheza kama pelethe Tutsi again....why don't you leave Tanzania alone??... we need to be very careful with Tutsi (calling themselves ha, hangaza and the like) holding some high level positions in the country, some of who are members of parliament..
Hawa nao! Virago?? what a name!Kagame ameishiwa kweli. Kiduka hata website hakina kinategemea blog ndio anamsingizia first lady wetu! Angalau angesema anamiliki Quality center kidoooogo....
1. Virago boutique: e[/u
Inside story of why President Kikwete deployed Tanzanian troops in DRC
![]()
TOGETHER AS NOT ONE: President Kikwete (centre) with TISS chief Rashid Othman (left) have maintained a public display of closeness, but behind the scenes, a bitter row is threatening Tanzania due to Othmans refusal to back the FDLR agenda
At an urgent summit of the International Conference on the Great Lakes Region (ICGLR) in Kampala in late September 2012, Tanzanias President Jakaya Kikwete spoke passionately of how Tanzania was eager to end the conflict in DR Congo. President Kikwete informed other leaders that Tanzania was ready to use force. Months later, Tanzanian troops were deployed, but as News of Rwanda reports, the deployment is a personal project of President Kikwete after ignoring advice of the Tanzania Intelligence and Security Service (TISS).
Since the ICGLR authorized the deployment of 3,069 troops, including 1,283 Tanzanian Special Forces, the events moved so fast. In April, Tanzanian Brigadier General James Aloizi Mwakibolwa was named the commander of the so called Neutral Intervention Force (NIF). On 10[SUP]th[/SUP] May 2013, the first batch of 100 elite forces arrived in Goma. Even as the world was celebrating the developments on the ground in eastern DRC, back in Tanzania however, tempers were at exploding point between President Kikwete on one side and the Tanzania Intelligence and Security Service (TISS).
News of Rwanda has established that around July 2013, President Kikwete unilaterally appointed a man we have only managed to identify as Mr Zongo to be the deputy director general of TISS. The shocking appointment was retaliation against the director general of TISS, Mr. Rashid Othman, who had rigidly refused to endorse the deployment of Tanzanian troops in DR Congo. According to sources close to Mr. Othman, he accused President Kikwete of mishandling the geopolitical situation in the region at the expense of Tanzania.
The man who the Tanzania state was paying to plan for its security strategy, feared that President Kikwetes unilateral decision would come back to haunt Tanzania. As the supreme leader, President Kikwete was not impressed, and moved to curb the powers of the intelligence chief.
Our sources have intimated to News of Rwanda that Mr Zongo is the current defacto boss as TISS and is the one who liaises between the Presidency and TISS. In comes President Kabilas sister The refusal of TISS chief Mr. Rashid Othman did not come from the blue. Information obtained by our investigations team shows that the deployment of Tanzania troops had been a personal pledge by President Kikwete to DRC President Joseph Kabila when he was in Tanzania for the SADC Troika summit on 5[SUP]th[/SUP] September 2012. But how did the Kikwete pledge come? The two presidents have cultivated a very close relationship to the point that the two families are business partners. Tanzanias First Lady fondly known as Mama Salma Kikwete and President Kabilas twin sister Jaynet Kabila have a mineral export business operating from Dar es Salaams MIKOCHENI suburb.
News of Rwanda investigations have led us to two very luxurious shops in Dar es Salaam. One of them is named RENZO located within the upper class MIKOCHENI Shopping Mall opposite SAVERIOS Pizza. The other shop is VIRAGO, positioned opposite Baraka Plaza. Both these shops are located in the MIKOCHENI suburb of Dar es Salaam where Tanzanias rich and good brash shoulders. According to sources on the ground, these two Kikwete-Kabila shops sell the most luxurious clothing and jewelry in Tanzania.
However, despite the size and expensive line of business, the shops are not registered with the Tanzania Revenue Authority (TRA). The two names are not found anywhere in the tax receipts of the TRA, which according to well-informed sources, means they do not pay taxes. However, nobody including the TRA commissioner general Harry Kitilya can say anything for fear of retribution. According to people operating businesses within the MIKOCHENI suburb, these particular shops are a no-go zone for ordinary Tanzanians.
Apart from seeing expensive cars packed within the vicinity, the shops are also common with foreigners who do not leave with any materials, and locals suspect strange businesses are taking place inside those buildings. Could it be that the intelligence Chief Mr. Rashid Othman knew from day one that his boss insistence on sending troops to DRC was not back by any love for Tanzanian interests? Could it be that Mr Zongo was brought to TISS to keep an eye on Othman such that he does not search too far? Only time will tell.
Jaynet Kabila is the twin sister of President Kabila, and a very power force in the DRC parliament. Politicians in DRC see her as the powers-be that choose Congos fate
Then the FDLR militia emerges First forward, on the morning of 26 May 2013, at a special and tense closed-door Africa Union heads of state summit on DRC, President Kikwete was seated across from Rwandan counter President Paul Kagame. The Tanzanian leader tells Kagame that he needs to sit at the same table with the democratic forces for the liberation of Rwanda rebels to talk peace. President Kikwete was reading from a prepared speech.
As News of Rwanda has reported ever since, Tanzania-Rwanda relations have since gone down the drain. Privately, President Kikwetes closest advisors have confessed to friends that the FDLR issue as advanced by their boss to other African leaders was never discussed. The original speech prepared by the Presidency did not include a reference to peace talks for ending the FDLR problem in eastern Congo.
Publicly, many Tanzanian senior officials have kept quiet leaving only two people to deal with the expected consequences of Tanzania siding with the perpetrators of the genocide. President Kikwete and his foreign affairs minister Bernard Membe have been left to fight alone, reason why they are the only people who speak passionately about the Rwanda-Tanzania showdown. However, it is not accidental. Dorcas Membe, the wife of the foreign affairs minister is a childhood friend of First Lady Mama Salma Kikwete. According to official data, Mama Salma was comes from Lindi, in Southern Tanzania. The First Lady and Dorcas Membe hail from the same village.
On 19[SUP]th[/SUP] August last year, News of Rwanda reported exclusively Shabyna Stillman, a senior diplomat at the US embassy in Dar es Salaam had sent a secret cable to Washington on Thursday May 5th, 2005 explaining how Mama Salma Kikwete was from the family of ex-Rwanda president Juvenal Habyarimana. Could it be that President Kikwetes sudden move in favour of the FDLR was influenced by the personal friendship with DRC counterpart Joseph Kabila or his wifes ancestry to Rwanda? Only time will tell.
Afadhali Theo Mutahaba ni mtunzi mzuri kuliko hilo gazeti, deputy wa TISS ni Jack Nzoka huyo Zongo sijui wamemtoa wapi si wangeuliza
Wachangiaji wengi humu nimewastukia! Nahisi harufu ya vijana wa TISS kujaribu kuokoa jahazi
we unaona damu ya kagame uhoni damu ya wenyeviti wako wa ccm toka mkapa,mauhaji ya Zanzibar watu 27,akaja mr trevellar,arusha mara mbili,mwangosi,moro muuza magazt,arumeru,padri,nk unafikiri izi ni damu za kuku?nchemba ata hatubu vip,kama kusamehewa atasameha lakini laana ni juu ya watoto wake na mke wake hao ndo watapata shida kasome habari za mfalme daud na sauli jinsi daud alivyo kata damu ya sauli isiwe juu yake,wekeni mapenzi pembeni ili muheshimiwa atambue makosa yake hakuna atakaye enda vitani kwa ajili ya masilah binafsi ya familia ya kabila na jk
Sodoliki, upo sahihi kabisa. Kwa ufupi wana ndoto za kutengeneza "Bahima Empire". Sasa hivi wamekamata Uganda, wanaitaka Mashariki ya DRC, na pia NAHISI kuwa, ndoto zao zinawapelekea mikoa ya Kagera na Kigoma walipo watutsi wenzao. Jamani, watutsi si watu wa kuwaamini hata kidogo!.. Hapa JF kuna mtu alishawahi kusema alikuwa na wenzao wapo nao Shycom, mara ilipotokea RPA wameanzisha vita kuivamia Rwanda tokea Uganda nao wakaenda kujiunga nao!...walizani ni wa Tanzania wenzao kumbe mweeeh!...ni kama ilivyo sasa hivi, watutsi tupo tunaishi nao, tunafanya nao kazi, lakini for sure ni watu wa kuwaangalia kwa jicho la tatu. Hasa tuwe macho kwenye vyombo vyetu vya Usalama na Ulinzi. Sisi wa Tanzania tumekuwa wakarimu mno na they can take advantage of that. No more trust, wengine wamejipenyeza kwenye Chama, ni Wabunge lakini you never know!....hii habari hata kama wengine wanasema imeandikwa kipropoganda lakini in security, every news is news, and should be taken seriously!...Kwanini watake kumchonganisha Chief of Intelligence na Mheshimiwa Rais?!!!!Watanzania, tuelewe kuwa rwanda walikuwa na nia kubwa ya kutwa ardhi ya Zaire kaskazini na kujiongezea sphere of influence kwenye region, na hasa ukikumbuka kuwa waganda , nao wako Upande wa rwanda, kwa mtazamo huu, ukubwa wa rwanda ni hatari kubwa kwa usalama wa tanzania . Alichofanya kikwete ni kuwabana wanyarwanda kwenye milima Yao Saba, na kuiongezea nguvu serikali ya congo, Hali hii imewaudhi sana wanyarwanda hasa wale diaspora ambao walidhani kuchukua eneo la congo kungewarudisha nyumbani, kwa Hilo kikwete kacheza kama pele
Mkuu on the contrary , mtu unaweza ku-conclude kuwa kazi inayofanywa na TISS pamoja na vombo vingine vya usalama na jeshi viko effective kwa suala la Rwanda.Hawa jamaa si bure. Wanataka kutufarakanisha!
Kwanza wanataka kumfanya Rais asimwamini Boss wa TISS na Boss wa TISS asiwe na imani na msaidizi wake na Rais pia.
Wakishafanikiwa basi kirahisi wanatutia mkononi. Tuwe makini sana na hii vita vya kipropaganda. Mbinu chafu sana hii.
Tatizo ni Tanzania kwenda Kongo na kukata mirija ya unyonyoji wa Rwanda kwenye maliasili ya Congo.
MUKAMASIMBA unaona hizi propaganda za Kagame?
Niko tayari kuwa mstari wa mbele tukampige kagame, tumuadabishe
we unaona damu ya kagame uhoni damu ya wenyeviti wako wa ccm toka mkapa,mauhaji ya Zanzibar watu 27,akaja mr trevellar,arusha mara mbili,mwangosi,moro muuza magazt,arumeru,padri,nk unafikiri izi ni damu za kuku?nchemba ata hatubu vip,kama kusamehewa atasameha lakini laana ni juu ya watoto wake na mke wake hao ndo watapata shida kasome habari za mfalme daud na sauli jinsi daud alivyo kata damu ya sauli isiwe juu yake,wekeni mapenzi pembeni ili muheshimiwa atambue makosa yake hakuna atakaye enda vitani kwa ajili ya masilah binafsi ya familia ya kabila na jk