To qualify going home - gusa achia rudi nyumbaniKuna kitu waafrika kusini wamenishangaza kuhusu Saed Ramovic, najua humu kuna watu washawahi kuishi au kufatilia any news kutoka South Africa.
Nimeshangazwa na baadhi ya waafrika kusini kumtambua kocha huyo kama Plumber. Yeyote mwenye exposure na hili suala naomba ufafanuziView attachment 3206885View attachment 3206886View attachment 3206887View attachment 3206888View attachment 3206889
Kuna watu duniani wana profesion zaidi ya moja. Binafsi, nina rafiki, alipokuwa FTC course, alisoma Civil Engineering, lakini tulipofika UDSM, akasoma Electrical Engineering..!! Mfano mwingine, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi alipokuwa UDSM (October 6, 1996 to 2000), amesoma Electrical Engineering lakini kwa sasa ana ma-CPA huko..!!! So, bwana Ramovic kuwa plumber na wakati huo huo ni kocha haiwezi kuwa ajabu..!!! Ndo mmojawapo kati ya wale watu wenye profesion zaidi ya moja. Wewe kama siyo multi-purpose baki hivyo..!!Kuna kitu waafrika kusini wamenishangaza kuhusu Saed Ramovic, najua humu kuna watu washawahi kuishi au kufatilia any news kutoka South Africa.
Nimeshangazwa na baadhi ya waafrika kusini kumtambua kocha huyo kama Plumber. Yeyote mwenye exposure na hili suala naomba ufafanuziView attachment 3206885View attachment 3206886View attachment 3206887View attachment 3206888View attachment 3206889
Rudi nyumbani, kutana na kolo, mlishe sabaTp qualify going home, gusa achia rudi nyumbani
Hahaha π€£Rudi nyumbani, kutana na kolo, mlishe saba
You took it out of context, either intentionally or unintentionalKuna watu duniani wana profesion zaidi ya moja. Binafsi, nina rafiki, alipokuwa FTC course, alisoma Civil Engineering, lakini tulipofika UDSM, akasoma Electrical Engineering..!! Mfano mwingine, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi alipokuwa UDSM (October 6, 1996 to 2000), amesoma Electrical Engineering lakini kwa sasa ana ma-CPA huko..!!! So, bwana Ramovic kuwa plumber na wakati huo huo ni kocha haiwezi kuwa ajabu..!!! Ndo mmojawapo kati ya wale watu wenye profesion zaidi ya moja. Wewe kama siyo multi-purpose baki hivyo..!!
Unajua kiingereza sio luga mama ya wasouth japokuwa ukiwalinganisha na sisi wapo juu so na wenyewe wanajikakamua sana kuongeaMbona kingereza chetu kabisa hicho, au huamini kama na sisi wabongo tunajua ngeli??
Wala siyo nje ya context. Ni kutaka kukuonyesha kwamba plumber anaweza akawa kocha.You took it out of context, either intentionally or unintentional
Huyu kocha simkubali kabisaKwahiyo huko SOUTH AFRICA BONDENI KWA MADIBA wasouth wanamtambua kama fundi bomba maarufu wanashangaa kawaje kocha tena. Haahaahaah
Sio lugha mama ndio ila huwezi linganisha na sisi ni kama UG na Kenya bado hatuwaingii kwa kinge, mbongo akiandika comment yake utamjua tu.Unajua kiingereza sio luga mama ya wasouth japokuwa ukiwalinganisha na sisi wapo juu so na wenyewe wanajikakamua sana kuongea
Mtakula pumba mwaka huu mandondochaRudi nyumbani, kutana na kolo, mlishe saba
Nadhani wamemaanisha sio mzuri kimpira.Kuna watu duniani wana profesion zaidi ya moja. Binafsi, nina rafiki, alipokuwa FTC course, alisoma Civil Engineering, lakini tulipofika UDSM, akasoma Electrical Engineering..!! Mfano mwingine, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi alipokuwa UDSM (October 6, 1996 to 2000), amesoma Electrical Engineering lakini kwa sasa ana ma-CPA huko..!!! So, bwana Ramovic kuwa plumber na wakati huo huo ni kocha haiwezi kuwa ajabu..!!! Ndo mmojawapo kati ya wale watu wenye profesion zaidi ya moja. Wewe kama siyo multi-purpose baki hivyo..!!
Acha uongo wewe .. !!!Kuna watu duniani wana profesion zaidi ya moja. Binafsi, nina rafiki, alipokuwa FTC course, alisoma Civil Engineering, lakini tulipofika UDSM, akasoma Electrical Engineering..!! Mfano mwingine, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi alipokuwa UDSM (October 6, 1996 to 2000), amesoma Electrical Engineering lakini kwa sasa ana ma-CPA huko..!!! So, bwana Ramovic kuwa plumber na wakati huo huo ni kocha haiwezi kuwa ajabu..!!! Ndo mmojawapo kati ya wale watu wenye profesion zaidi ya moja. Wewe kama siyo multi-purpose baki hivyo..!!