Kuna kitu waafrika kusini wamenishangaza kuhusu Saed Ramovic

Kuna kitu waafrika kusini wamenishangaza kuhusu Saed Ramovic

Kuna watu duniani wana profesion zaidi ya moja. Binafsi, nina rafiki, alipokuwa FTC course, alisoma Civil Engineering, lakini tulipofika UDSM, akasoma Electrical Engineering..!! Mfano mwingine, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi alipokuwa UDSM (October 6, 1996 to 2000), amesoma Electrical Engineering lakini kwa sasa ana ma-CPA huko..!!! So, bwana Ramovic kuwa plumber na wakati huo huo ni kocha haiwezi kuwa ajabu..!!! Ndo mmojawapo kati ya wale watu wenye profesion zaidi ya moja. Wewe kama siyo multi-purpose baki hivyo..!!
Matumizi ya neno plumber nchini Africa Kusini ni tofauti sana na ulivyoelezea hapo.
Kule bongo wangemaanisha dizaini ya wapiga kelele kama Mwijaku, Babalevo, Sitiv n.k
 
Matumizi ya neno plumber nchini Africa Kusini ni tofauti sana na ulivyoelezea hapo.
Kule bongo wangemaanisha dizaini ya wapiga kelele kama Mwijaku, Babalevo, Sitiv n.k
Yet, does not change anything to me..!! by the way, kama neno unaloliulizia lina maana tofauti na udhamiliayo, ni bora ukaelezea ili upate majibu halisi ya ulichokiulizia. Haya msome na huyu hapa chini

1737458323524.png

CC gonamwitu
 
Back
Top Bottom