Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 2,188
- 4,116
Hakuna kwakweli maana ofisini kwetu secretary aliwahi kukosea badala ya kununua wa million moja akanunua wa miliom 10Habarini wakuu. Naomba kuuliza swali la kizushi.
Kiwango cha juu cha umeme wa LUKU ambacho mtu anaruhusiwa kununua ni kiasi gani?
Duh. Huu si wa miaka kadhaa?Hakuna kwakweli maana ofisini kwetu secretary aliwahi kukosea badala ya kununua wa million moja akanunua wa miliom 10
Habarini wakuu. Naomba kuuliza swali la kizushi.
Kiwango cha juu cha umeme wa LUKU ambacho mtu anaruhusiwa kununua ni kiasi gani?
Umeme wa Million 50 si umeme wa kutumika kiwandani huo kwa mwezi mzima 😅 ShytownNakumbuka kama ni 50milion
Ila ukitaka kununua zaidi ya hapo pia ni ruhsa, unaomba tu wanaiwezesha miter yako.