GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Bro una muhaho na Yanga. Yaani Yanga INAKUHAHISHA SANAAsanteni sana CAF kwa Uamuzi huu kwani kwa Tanzania kuna Timu moja tu yenye DNA ya Kufanya vyema CAFCL kwa kufika hatua za Juu ila kuna Klabu nyingine ya Tanzania GENTAMIYCINE naionea mno Huruma kwani itacheza Mechi zake Mbili tu za Awali na Timu za maana za CAFCL na siyo zile Nyepesi ( Mchekea ) iliyokutana nazo CAFCC na itafungwa kisha Kuondolewa mazima na kuja kuendelea Kucheza Mechi zake za NBC Premier League ambako imezoea Kununua Waamuzi, Wachezaji na hata Timu ili ishinde na iwe Bingwa.
Kudadadeki Shikamooni sana CAF!!!!!
Huu ni mtego wa panya....Asanteni sana CAF kwa Uamuzi huu kwani kwa Tanzania kuna Timu moja tu yenye DNA ya Kufanya vyema CAFCL kwa kufika hatua za Juu ila kuna Klabu nyingine ya Tanzania GENTAMIYCINE naionea mno Huruma kwani itacheza Mechi zake Mbili tu za Awali na Timu za maana za CAFCL na siyo zile Nyepesi ( Mchekea ) iliyokutana nazo CAFCC na itafungwa kisha Kuondolewa mazima na kuja kuendelea Kucheza Mechi zake za NBC Premier League ambako imezoea Kununua Waamuzi, Wachezaji na hata Timu ili ishinde na iwe Bingwa.
Kudadadeki Shikamooni sana CAF!!!!!
Mtani wangu acha kujimwambafaiUkishakuwa tu 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" lazima Special tofauti na ulivyo Bwege Nazi Mmoja Wewe.
Hongera kwa Kuwasemea Moderators kwa Niaba juu ya Hoja nzito za huyo Member Cognizant ambazo kwa bahati mbaya zimezidi hata Uwezo wenu wa Kufikiri na ndiyo maana mmeshindwa Kuzijibu Kiufasaha.
Wakukurupuka at his best [emoji16]!Asanteni sana CAF kwa Uamuzi huu kwani kwa Tanzania kuna Timu moja tu yenye DNA ya Kufanya vyema CAFCL kwa kufika hatua za Juu ila kuna Klabu nyingine ya Tanzania GENTAMIYCINE naionea mno Huruma kwani itacheza Mechi zake Mbili tu za Awali na Timu za maana za CAFCL na siyo zile Nyepesi ( Mchekea ) iliyokutana nazo CAFCC na itafungwa kisha Kuondolewa mazima na kuja kuendelea Kucheza Mechi zake za NBC Premier League ambako imezoea Kununua Waamuzi, Wachezaji na hata Timu ili ishinde na iwe Bingwa.
Kudadadeki Shikamooni sana CAF!!!!!
Na nitachukua sana tu hadi Wajinyonge.Wana muonea wivu mwenzao kachukua Tuzo ya jukwaa la michezoo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mioyoo inawaumaa mnoo.
Hawana Akili.Utopoloo wamecharukwaa kwani tatizo nn?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
CAF wapewe maua yao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] achanaa nao bhanaa, wala wasikutishee.Hawana Akili.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na watajinyongaa kweliii, Kuna Genta m1 tyuuh hapa JFNa nitachukua sana tu hadi Wajinyonge.
Nina PhD ya Vita ya Maneno na Majibizano nikiwa peke yangu na Maadui zangu wakiwa hata 500 kwa wakati Mmoja.Ila jenta mnamchokoza wenyewe shauri yenu
Wapuuzi huwa wanafika CAFCL Final?Usije ukafuta hii, ili tukiingia fainali CAFCL utoke macho kama jusijusi