GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Asanteni sana CAF kwa Uamuzi huu kwani kwa Tanzania kuna Timu moja tu yenye DNA ya Kufanya vyema CAFCL kwa kufika hatua za Juu ila kuna Klabu nyingine ya Tanzania GENTAMIYCINE naionea mno Huruma kwani itacheza Mechi zake Mbili tu za Awali na Timu za maana za CAFCL na siyo zile Nyepesi ( Mchekea ) iliyokutana nazo CAFCC na itafungwa kisha Kuondolewa mazima na kuja kuendelea Kucheza Mechi zake za NBC Premier League ambako imezoea Kununua Waamuzi, Wachezaji na hata Timu ili ishinde na iwe Bingwa.
Kudadadeki Shikamooni sana CAF!!!!!
Kudadadeki Shikamooni sana CAF!!!!!