Mangi shangali
JF-Expert Member
- Feb 9, 2023
- 533
- 820
Habari zenu..
Nina masikitiko sana msimu huu simba hawajachukua kombe lolote.
Mimi ni shabiki kindaki ndaki wa yanga mimi ni mwananchi kabisa na siwezi kuishabikia simba daima.
Ila kinachoniumiza kumuoana huyu doto anachezewa sharubu kila anapoenda kucheza mpira.
Huyu kocha aliyekuja,hana maisha na simba hata kidogo hivi kweli kocha robertinho hukuona saido anapoteza mipira mara kwa mara.
Alafu unashindwa kumuingiza moses phiri unamuingiza bocco kweli.
Hata kama humpendi moses sio mbaya kumuingiza.
Alafu wachezaji wanzuri wapo benchi unashindwa kufanya sub .
Huyu robertinho ndo ameifelisha simba kuingia nusu fainali za cuf,simba walishikilia game mwanzo mwisho wydad walikuwa wanashambulia mda wote na simba alishindwa kumtoa saido na kumuingiza sakoh??
Leo tena kashindwa kumtoa saido tena.hivi huyu kocha yupoje jamani,hivi anajua mpira wa tanzania??
Benchi la simba limefeli mwanzo mwisho.
Uongozi wa fumue timu nzima .
Mgunda Hasepe
Ndo hayo.