babacollins
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 901
- 212
Katika vipindi vya michezo kwenye baadhi ya vyombo vya habari, wamezigawanya habari hizo katika kundi la kitaifa, Afrika na kimataifa. Kwenye za kitaifa mara nyingi huwa wapo sahihi lakini linapokuja suala la habari za Afrika tayari ni za kimataifa sababu zinagusa mataifa tofauti afadhali za kimataifa zingeitwa habari za nje ya bara la Afrika.
Na mara nyingi wanaotumia neno "Kimataifa" hubeba dhana kuwa bora kuliko jambo ambalo sio mara zote lipo sawa.
Mchezaji kiongozi.
Na mara nyingi wanaotumia neno "Kimataifa" hubeba dhana kuwa bora kuliko jambo ambalo sio mara zote lipo sawa.
Mchezaji kiongozi.