Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Kuna vijana wengi sana wa kitanzania ambao walishakuwa brainwashed na kujiunga na makundi ya kigaidi kama Al shabab.
Vijana wengi sana toka mikoa ya pwani, Tanga , Arusha walishajiunga na kundi la Al shababu na wengi tu walishawahi kuhudhuria mafunzo ya kigaidi huko Somalia.
Hata hayati Agustine Mahiga alipkuwa muwakilishi wa UN huko Somalia alishuhudia vijana kibao wa kitanzania wakiwa Somalia wakifanya mafunzo ya Kigaidi. Na alipohojiwa na vyombo vya habari aliwahi kugusia juu ya hili.
My take: Tuna maadui wengi kama taifa ila kwa sasa kundi la vijana walio na sapoti kwa jihadi ni adui mmojawapo mkubwa.