Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Nadhani mada aliyotaka kuiwasilisha hapa hakujua kuwa ni nzito zaidi kuliko alivyojiandaa kuiwasilisha ili ijadiliwe kwa kina.Mtaje basi walau mmoja tuanze kudili nae ili awe mfano, vinginevo na wewe mmbea tuu
Wataiba nini sasaHili kundi ni wanaCcm ambao wanajifanya wanaakili nyingi za kutuibia watanzania.
Huko nyuma wametuibaia sana kwa kila namna, kwa kukwepa kodi, kukwapua pesa za umma na kujilimbikizia mali. Hawa watu hawafai kwa udi na uvumba.
Sasa hivi ndio wanamuongoza chief wetu kwa kila namna. Kama taifa tusipotumbua macho tunakwenda kuibiwa kama vile tumelala usingizi wa pono.
Jk na kundi lake la wanaccm mahafidhina wanaodhani Tanzania ni mali ya ccm, na ccm ni mali yao, kwa hiyo na Tanzania ni mali yao.Mtaje basi walau mmoja tuanze kudili nae ili awe mfano, vinginevo na wewe mmbea tuu
Hepi aliyekua mkuu wa mkoa wa Iringa aliwapa makavu aliposema. Wastaafu wakae kwa kutulia, waache kuliongoza taifa.Acha warudishe ukwasi wao maana mwendazake aliwapoka bila huruma.
IHepi aliyekua mkuu wa mkoa wa Iringa aliwapa makavu aliposema. Wastaafu wakae kwa kutulia, waache kuliongoza taifa.