Kuna kundi muhimu limetuunga mkono. Itakuwa surprise siku hiyo

Kuna kundi muhimu limetuunga mkono. Itakuwa surprise siku hiyo

Wale wanajeshi mliosema wako upande wenu wako wapi? Na yule captain wenu yuko wapi? Nyumbu hadi muishe ndo mtapata akili.
Sasa ewe mnufaika wakiisha si ndiyo utafanya na sherehe ujipongeze kwa hilo
 
Nimewahi kujaribu kuona upande gani upo, ila nashindwa kuelewa, before Ulikuwa kizimkazi... Paap umegeuka.... Vipi teuzi imekataa?
Screenshot_20251120-131746.png
 
😂😂😂😂😂 anaishi mitunduruni hapo Singida.
Lucha huwaga ni msenge sana.

Yeye bize jamii forums kuongea utumbo kwa sababu Hana kazi ya kufanya. Mimi naweza nisiingie jf siku nzima,nikisema Wacha nitulie niperuzi "jf siasa" lazima nikute huyo "white" amecomment alafu ni usenge mtupu anaandika.
 
Nimewahi kujaribu kuona upande gani upo, ila nashindwa kuelewa, before Ulikuwa kizimkazi... Paap umegeuka.... Vipi teuzi imekataa?
Itakuwa hakuwa amemuelewa boss wake sasa boss kuja kusoma text akaona dogo mbona anajishambulia tena ndio akarekebishwa chap..
 
Kuna kitu nashindwa kabisa kukielewa.
Ni hawa watu wanaoitetea hii serikali ya Samia.
Maovu yote yanayotendeka kila kukicha sijui hawayaoni au ndio wameamua kuvaa miwani za mbao na kuutetea utawala huu dhalimu.

Shubaamit wote.
Kuna wale wanaoitetea kwa ajili ya maslahi kiduchu wanayopewa na mafisadi, hao kidogo kuna muda roho zinawasuta...

..sasa kuna wale wanaoitetea hii serikali kwa sababu tu aliyekaa pale juu ni mtu wa imani yao, aisee hawa ndio wabaya sana, wamejawa na mihemko,akili zao ni duni sana, na ndio hao ambao wanajustify kila ovu linalofanywa na huyu bibi kwa hoja za kipuuzi sana kama kulinganisha na maovu ya mtangulizi wake, mfano halisi ni wale mashekh uliowaona jana waliosema wako tayari kuchinja waandamanaji.
 
Vipi
Mayi! Achana na ICC. Wao waendelee kutafuta vikao na kupiga simu huko kimataifa ili wamalize kidipolomasia.

Wamesahau jambo moja lipo kundi moja muhimu ambalo hilo tayari lishakuwa upande wetu. Hiyo tarehe tunaenda kuwagea suprise walahi hawataamini.

Nawaambia siye tupo karibu nao. Twasema nao kila siku. Mwasema sumu. Hatomgea. Twataka alipie yeye na kizazi chake.

Yeye si aua vizazi vya wengine. Aishi mbinguni siye ardhini. Yeye ajigeuza Mola. Tutaona. Na bado. Msiwe na halaka huu mchezo ushanoga. Desemba tutapanda ile ngazi ya pili. Na bado
Dec 9 si itakuwa ya kutoa kafara yale yale ya 29MO?
 
Kuna kitu nashindwa kabisa kukielewa.
Ni hawa watu wanaoitetea hii serikali ya Samia.
Maovu yote yanayotendeka kila kukicha sijui hawayaoni au ndio wameamua kuvaa miwani za mbao na kuutetea utawala huu dhalimu.

Shubaamit wote.
Wanalipwa humu mitandaoni. Ila bwana mdogo atalipa hela mpaka akome. Hawajifunzi. Walizigawa weeee kwenye kampeni ila haikusaidia. Bado wanagawa hela tu, ila still wamekataliwa. Masheikh uchwara wa juzi nao wamepata mgao. Hawa Wazanzibari bwana!!! Ndio kukosa akili au????
 
Wale wanajeshi mliosema wako upande wenu wako wapi? Na yule captain wenu yuko wapi? Nyumbu hadi muishe ndo mtapata akili.
Kwani ametaja wanajeshi,labda anamaanisha waganga wa kienyeji
 
Back
Top Bottom