Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Waliooa hapa duniani ni wachache sana, wengi tunaishi na watu wakusindikiza nao maisha, ndiyo maana tunakimbilia kwenye tabia, bila kuangalia shepu na sura nzuri.
Waliooa ni wale wanaoishi na warembo wakali, wenye shepu nzuri na sura nzuri, hawa ndio waliofanikiwa kuoa.
Sisi wengine tulioangalia vigezo vya tabia, mara ana kazi n.k, sisi tunasindikizana kimaisha tu, ili yaweze kwenda.
Ndio maana kila siku, mwanaume anatamani wanawake warembo na wazuri, ila kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wake, anaishia kutamani tu.
Kuoa sio swala jepesi, karibu kwa mjadala.