Kuna kuoa na kusindikizana kimaisha

Kuna kuoa na kusindikizana kimaisha

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Waliooa hapa duniani ni wachache sana, wengi tunaishi na watu wakusindikiza nao maisha, ndiyo maana tunakimbilia kwenye tabia, bila kuangalia shepu na sura nzuri.

Waliooa ni wale wanaoishi na warembo wakali, wenye shepu nzuri na sura nzuri, hawa ndio waliofanikiwa kuoa.

Sisi wengine tulioangalia vigezo vya tabia, mara ana kazi n.k, sisi tunasindikizana kimaisha tu, ili yaweze kwenda.

Ndio maana kila siku, mwanaume anatamani wanawake warembo na wazuri, ila kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wake, anaishia kutamani tu.

Kuoa sio swala jepesi, karibu kwa mjadala.​
 
Nenda kwenye uzi wa picha picha, uone vifaa; wale ndio wanatakiwa wawe ndani
Kwa mfano mie haka maisha saafi ila wengine wanakapondaa kabaya
Screenshot_20220924_150314_com.android.gallery3d_edit_21876129271140.jpg
 
Oooh hapa ndo ile kitu inakuja kuhitimisha kua mtavumiliana kwenye Shida na Raha" Kwa "magonjwa na Afya" mpaka kifo kitakapo watenganisha.

Wakuu kama pisi yako kali nenda zako
 
Back
Top Bottom